Recent content by Olais Lukumay

  1. O

    Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Pole chief,ila kiukweli siku hizi majeshi yetu yameahuka hadhi,ukijaribu kuangalia kama vile wamesahau kabisa wajibu wao kwa RAIA ambao wanalipwa kwa kodi zao,its like wao ni watu wa tofauti sana na watu wengine,hawajali haki za watu,wanatumia nguvu zaidi kuliko akili,sujajua shida iko...
  2. O

    Simulizi za the Bold

    Yes we real need him back
  3. O

    TANZIA: Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CUF wilaya ya Magharibi A, Ali Juma Suleiman auawa

    Mwanzo 4:10-11 Akasema umefanya nini?sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.Basi sasa umelaaniwa wewe katika ardhi iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako.
  4. O

    ‪Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akamatwa na Polisi kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano‬

    Tanzania ya vi wonder Sent using Jamii Forums mobile app
  5. O

    Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    Tanzania ya vi wonder Sent using Jamii Forums mobile app
  6. O

    TANZIA: Prof. Joseph T. Nagu amefariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

    R.I.p Professor Sent using Jamii Forums mobile app
  7. O

    Ronald Opus death: Kifo chenye utata mkubwa kuwahi kutokea

    Duuh! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. O

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Tanzania ya vi wonder Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  9. O

    Dar: Halima Mdee afikishwa Mahakamani Kisutu, apewa dhamana

    Siasa za dizaini hii hazina tija kwa taifa shindaneni kwa hoja zenye kuleta maendeleo kwa wananchi ambao mnalipwa kwa sababu ya kodi zao Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  10. O

    Uhasama bungeni: Jumuiya ya wabunge wakatoliki yavunjika

    Uongozi ni kuwaweka watu pamoja ndio maana kiongozi lazima atumie hekima kuliko nguvu Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
  11. O

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Ili ufanye vizuri unahitaji kukosolewa ila ukikataa kukosolewa una nafasi kubwa sana ya kutokufanikiwa japo kwa sasa mda utaongea kila kitu coz effect za kinachoendelea sasa Watanzania wengi tunaweza tusikione sasa hivi lakini baada ya muda tutakuja kukiona tu
  12. O

    Tuacheni uongo, kwa mtaji huu upinzani wajikite kwenye ubunge

    Hisia,ushabiki,chuki ndio vinavyotumiwa na watanzania wengi kufanya maamuzi kwenye kupiga kura but kwa wale wenye kupima mambo kwa akili zao timamu hilo haliwezekani,
  13. O

    Ukitaka kujiajiri elimu ya kidato cha nne inatosha, kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda

    Elimu pia ina nafasi yake kwa sababu inategemea sana unataka kujiajiri kwa nyanja gani
Back
Top Bottom