Recent content by okyoma

  1. okyoma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake 8,000 singles waandamana kuishinikiza serikali iwasaidie waolewe!

    Penye miti mingi Hapana wajenzi, hayo mazari si yatokee bongo.
  2. okyoma

    JamiiForums Tanzania MAUAJI DAR: Maiti tatu zadaiwa kuokotwa ufukweni Coco Beach

    Wasiojulikana!!!!!!!
  3. okyoma

    JamiiForums Tanzania Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

    Ni vizuri NBAA wajikite kwenye kuelimisha Jamii umuhimu wa CPA, pili waanzishe vyuo vya hizo kozi, sio kutunga sheria kali tu, mbaya zaidi hao wakurugenzi wameanzisha magenge ya tuition ambapo wanatoa majibu badala ya taaluma endelevu.
  4. okyoma

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

    mimi namwonea huruma yaani hakumbuki yule mbunge aliyevunjika mkono na baadaye akapoteza ubunge baada ya kumpiga mkwara Ziiii.. kwamba asimamishwe ubunge.
  5. okyoma

    JamiiForums Tanzania TEGETA, DAR: Meja Jenerali Mstaafu wa JWTZ, Vicent Mritaba apigwa risasi 5 na majambazi

    Hilo eneo lina sound proof ndio maana watu na walinzi waliyokuwa karibu hawakusikia milio ya risasi 30, chezea watu wasiojulikana. bila kusahau kauli kama ''kitu kinachosadikika na ncha kali, risasi, bomu na dhamani haijajulikana ....''
  6. okyoma

    JamiiForums Tanzania Credit suisse wakiri kuikopesha Tanzania Dola milioni 500 (Sawa na trioni 1.2 za kitanzania)

    hizo pesa zili/zitatumika kununua silaha za kivita, mabomu ya machozi, maji ya washa washa na kuimarisha vyombo vya usalama maanake tunakoelekea utekaji, mauwaji, njaa, ukosefu ya matibabu, elimu, ukandamizaji wa uhuru wa watu vitasababisha raia waingie barabarani.............
  7. okyoma

    JamiiForums Tanzania UGANDA: Watanzania 13 wa familia ya Gregory Teu, wafariki katika ajali. Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Mungu awape nguvu na ujasiri familia ya Gregory Teu kipindi hichi kigumu kwa kupoteza idadi hiyo kubwa ya wanafamilia.
  8. okyoma

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Serikali wanaojiongezea kipato kwenye Hospitali binafsi kukiona...

    Usalama wa kutabiri machafuko kutokea kwenye mikutano ya wapinzani ila Twiga kupanda ndege wanasaidia ku-escort na kuiba kura .
  9. okyoma

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Serikali wanaojiongezea kipato kwenye Hospitali binafsi kukiona...

    Degree in Hotel Attendant/Baby sitter
  10. okyoma

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Ndugu zangu wa upande wa pili tuwaache wafu wazikane wenyewe. Walionywa na Rais wa Sheria kuwa wakimaliza upinzani wataanza wao wakachekelea. Post sent using JamiiForums mobile app
  11. okyoma

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baadhi ya Mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu

    Kiswahili ni lugha inayokuwa, basi kuanzia Leo Wale watu tuwaite Mh. WAPUMBAVU ........./ Mh. Naibu Mpumbavu ........ Post sent using JamiiForums mobile app
  12. okyoma

    JamiiForums Tanzania Hoyce Temu: Kuna faili zaidi ya 17 kwa DPP zinazomhusu Mange Kimambi

    Huyu Joyce Temu ameingia choo cha kiume!!! Namwonea huruma Mange ambaye ameshindwa na jeshi la polisi, magereza, uhamiaji pamoja na interpol ya bongo. Au umiss haukumpa umarufu anautafutia kwa Mange.
  13. okyoma

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Big banks' profits fall amid continuing industry woes

    wewe mubunifu unamiliki hata tuta la mchicha hapo ulikopanga? au unasubiri wabunifu wakulipe mshahara? kumbuka bank ni tasisi ina wataalamu wakila nyanja kwa hiyo wanapotangaza kushuka kwa faida wanamaanisha, sio wewe from no where, huna moral authority unakosoa taluma ya watu kwa kutumia kigezo...
  14. okyoma

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Big banks' profits fall amid continuing industry woes

    wewe acha ndoto za mchana huyo mfugaji atakuwa anakula kwa mamako muda huo wa mwaka mzima, hao ngombe hawatibiwi? hawafi? Mchungaji ni baba yako? Maji Ya babu yako? watachunga kwa shamba la bibi yako? tuache hayo yote kumbuka hapo kuna wakulima►wafanya...
Back
Top Bottom