Ninaitwa Samwel Mayala Mimi ni chef mwenye uzoefu wa miaka 18 kwenye hotel.
Ninapika vyakula aina mbalimbali ikiwemo Tanzania na nji za mataifa mbalimbali.
Pia ninapika kwenye shughuli kama vile harusi, kipaimara na ubatizo pia ukiwa na shughuli nyumbani unaniita nyumbani nakuja kukupikia...
Habari za jioni,
Ninaitwa Samwel Mayala Mimi ni chef mwenye uzoefu wa miaka 18 kwenye hotel.
Ninapika vyakula aina mbalimbali ikiwemo Tanzania na nji za mataifa mbalimbali.
Pia ninapika kwenye shughuli kama vile harusi, kipaimara na ubatizo pia ukiwa na shughuli nyumbani unaniita nyumbani...
Wanajamii ninaitwa Samweli Mayala.
Mimi ni mpishi wa uzoefu wa miaka 18, natafuta kazi kwa yoyote atakayesikia anijulishe.
Namba zangu ni 0657642225.
Niko Dar es Salaam.
Wadau habari za mchana,
Naomba kuuliza,
Kuna akaunti ipo kwenye ukurasa wa Facebook unahusina na mikopo hii ni kweli au matapeli tu wa Tz.
Msaada wa maelezo kwa yoyote anayefahamu ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.