Recent content by Okol36

  1. Okol36

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya ukimya wa CDF MKUNDA

    Yupo kama parpet tuu 😂
  2. Okol36

    JamiiForums Tanzania Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Kama walivyoshadadia kuuawa Kwa wasio na hatia .. ... Imeandikwa mshahara WA dhambi ni mauti ..
  3. Okol36

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Wanaharakati wa Kenya wana maslahi sana na Tanzania kuliko Uchaguzi wao?

    Sijui unaongea ujinga gani .... Unaacha kuangalia waliosababisha matatizo wewe unaangalia ujinga ujinga tuu
  4. Okol36

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 3: Maandamano yanaendelea jijini Dar es Salaam

    Tatizo ni kwamba fisiemu hawaingiagi ikulu Kwa Kura ndio maana wanatuona kama matak🤔 Yao .... Acha kiwarambe
  5. Okol36

    JamiiForums Tanzania GE2025 JWTZ nawaomba ili kuleta muafaka wa maandamano ongeeni kwa hekima na hawa

    Umeongea mengi zaidi Ila mwisho ... Samia na genge lake aachie nchi .. Hili ndio la msingi zaidi
  6. Okol36

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hii kweli ni Hotel ya Abdul? Details zake zikoje?

    Samia must go
  7. Okol36

    JamiiForums Tanzania CDF - General Nkunda, Hii ni Yako - Utake usitake!

    Kumbe mwamba kipepeo duh
  8. Okol36

    JamiiForums Tanzania Israeli ni simba dume katika kundi la Nyumbu

    Uzuri kila kitu kilikuwa live .... Usitumie nguvu nyingi kutuelewesha
  9. Okol36

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kashindwa kung'amua au balenciaga wamefeli kwenye designing

    Mtumbani kibao hivyo
  10. Okol36

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia, TRA imekusanya kodi Tsh. Trilioni 120, kiwango kikubwa kuliko awamu zote kabla yake

    Sasa mikopo ya nini kama pesa ni nyingi hivyo ...
  11. Okol36

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kabeke: Unapomtukuna Rais unakuwa umeathiri Watanzania

    Gwajima alikemea kutekwa watu akaambiwa kachanganya siasa na dini ... Huyu nae tumuiteje???? Kwa akili hizi Siku MOJA nyuma ya msikiti ataleta Banda la nguruwe afuge
  12. Okol36

    JamiiForums Tanzania Naumia na kuteseka sana moyo wangu mpaka natokwa na machozi nikiona mtu anamtukana Au kumdhalilisha na kumvunjia Heshima Rais Samia

    Ushindi WA janabi ulilia Samia kutukanwa unalia .,. Njaa ikizidi kila kitu unalia
  13. Okol36

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi Mbeya: Ole wake yeyote mwenye nia ovu ya kufanya uhalifu au kudhuru askari au familia yake

    Mmeshindwa kuwapata waliomteka mdude Leo mnatuchimba mkwara
Back
Top Bottom