Recent content by Okoa nyumba

  1. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Duuuu!!!! Ndio nimemjua hata hajajibu anachoulizwa yeye anaongelea umeme eti tutauza na wakati tunataka ya somalia
  2. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Uvccm watakuja na majibu subirni kupambazuke.
  3. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuisikia Sauti ya Mungu

    Nimekaaa siti ya mbele nisikie maneno Yake wakati watu wako bize na mambo ya Dunia hii Yesu atakua kama mwizi iyo ni muhimu kusikia sauti yake wakati huu wa hatari ambayo sauti za uongo na nadharia ikipotosha ukweli wa Mungu, ubarikiwe kwa habari hii njema ya Injili
  4. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Deni likitajwa kwa shilingi ya Tanzania lazima lionekane limeongezeka

    Duuu!!! Kambale unajua kama polisi wapo doria?
  5. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa CCM unawaita Wananchi KENGE? Anaishauri DOLA iendeleze Utekaji na Uuaji dhidi ya Kenge (Watanzania)?

    Wanaomjua uyu mbunge naomba aniambie elimu yake make sio kawaida mtu mwenye akili timamu kujizima data hiv wapigakura unawaita kenge tena Bungeni afu spka anamuacha aendelee tu kuchangia!!!!! Huko tunakoperekwa sio kabisa
  6. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Anguko, anguko,!!!!!!!!!
  7. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

    Kuna mambo yanauma sana istoshe kaandika viashiria hivi juz
  8. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Niliachwa na baba mtoto wangu, kwa vimbwenga akaoa mke mwingine. Mambo yameharibika kwake anataka turudiane

    Ishi na mumeo achana na mambo ya single ni ushetani
  9. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Mama amshika pabaya mchungaji, Mungu kasema unipe laki sita

    Mungu hua anasema nao waumini wawape!!,awamu hii Mungu anaujumbe kwa waumini, ila Sina uakika kama atapewa make jamaa haamini amini.
  10. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Mlundikano wa michango makanisani itafanya watu warudi kuabudu mizimu ya kwao

    Kwani kwenye mizimu huko hakuna sadka?
  11. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Police Tanzania Babati Manyara ni changamoto sana

    Majeshi yeti hua jawajui wagonjwa, wanapopiga risasi labda kwny misiba ndio hua wanatangaza
  12. Okoa nyumba

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu ni Askari Magereza ?

    Umenikumbusha mbali, aliong
Back
Top Bottom