Video: Huyu ni Askari Magereza ?

Video: Huyu ni Askari Magereza ?

Poti anafanya kazi nzuri kukanya na kuogopesha watu wanaosema hawaogopi jela. Iogope jela kwa kuepuka mambo ya uvunjifu wa sheria wa makusudi. Jela sio picnic au matembezi ya bustanini. Ni sehemu ya kuogopesha. Sio sehemu ya kujitakia kuwa huko.
Sio kazi yake kutukumbusha hilo,jeshi lina msemaji
 
Mbona kasema yeye mwenyewe anapaogopa jela ingawa ni askari. Chukua ujumbe chanya. Anakanya watu wanaojifanya wababe ati hawaogopi jela. Kuna familia hazina amani wanafanyiwa unyanyasi na wenye nguvu na kuwatishia kashtaki popote mie jela siogopi. Ujumbe wao ndio huu toka kwa poti kwamba jaribu sasa uingie huko ukajionee show
Yeye amejionea hayo kwa sababu yuko jela hivyo ni mfungwa. Nani asiyefahamu maisja ya jela sio mazuri kuanzia kula, kulala na kukosa uhuru?
 
Nia ilikuwa kuwakumbusha watu jela si kuzuri ila sasa akasahau kuna sheria na taratibu tulizojiwekea ambazo huenda huwa zinapuuzwa ukishaingia jela.
 
Uyo askari cjui kwanini alifukuzwa, na wakati alisema ukweli na point zake nazielewa sana Mimi niliewai kukaa Gerezani yaani huko jamaa ni Simba, ukileta mdomo huko ndipo utajua meja ni nani huku nje ni wapole ila ukiingia huko ndipo utajua iyo rungu anayoisema, na ndipo utajua neno Meja.
 
Chukulia positive, kweli kuna watu wanajidai jela kitu gani, na ukweli ni kwemba JELA ni JERAHA
 
“Saa nyingine wafungwa wafanyishwe kazi ngumu kama za kulima, tena wakitegea wapigwe mateke” - John Pombe Magufuli “Jiwe”

Sasa afande kama huyu sipati picha aliitumiaje kauli hiyo ya jiwe kwa wafungwa

Bongo bahati mbaya
 
Asee mambo huanza taratibu baada ya kuharibu atarudi kuomba msamaha wananchi
 
Umenikumbusha mbali, aliong
“Saa nyingine wafungwa wafanyishwe kazi ngumu kama za kulima, tena wakitegea wapigwe mateke” - John Pombe Magufuli “Jiwe”

Sasa afande kama huyu sipati picha aliitumiaje kauli hiyo ya jiwe kwa wafungwa

Bongo bahati mbaya
 
Back
Top Bottom