Asante sana sasa naomba namba yake mimi niwasiliane naye sasa hivi maana ukiwapa namba wapo watu wanaofanya mzaa ndugu yangu wakati ni swala la muhimu kwangu.
asante
Wapendwa wana jf natafuta mwalimu wa nursery na darasa la nne ambaye anakaa maeneo yombo vituka ili aweze kuwafundisha wanangu 2 muda ni kuanzi jioni (yasizidi masaa mawili ila pungufu inawekana) malipo ni 100,000/= kwa mwezi.
Kwa mawasiliano tumia box 70291 dar es salaam.
Asanteni

Wana JF natafuta mwalimu wa nursery ambaye anaomuda wakati wa jioni (saa 10 jioni) ili aweze kumfundisha mwanangu (4 year). Ningepende mwalimu ambaye anakaa maeneo ya yombo vituka maana ni maeneo mimi ambayo nakaa. Malipo ni maelewano tutakapo wasaliana.
Asanteni sana.
Mimi nakaa yombo vituka ila mtaani kwetu tunatatizo la shule za na Nursery kama huko serious nipe mawasiliano ili tuongee zaidi. Mimi mwenyewe nashida sana ya walimu wa nursery. Asante
Naomba kama kuna mtu anajua fundi wa microwave ya digital naomba anisaisidie maana nimeangaika sana kila fundi anasema ni ngumu kumpata fundi microwave za digital.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.