Recent content by OK 1

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya Viwanja Mbezi, Kibamba, Kiluvya ni kubwa kuliko Temeke na Kigamboni?

    Kila mtu anajitahidi kuishi maisha yake hakuna uswahili mwingi ,tofauti na temeke
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya Viwanja Mbezi, Kibamba, Kiluvya ni kubwa kuliko Temeke na Kigamboni?

    Maeneo hayo yana upepo mzuri sana
  3. O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajui kusamehe

    Mmmh basi hii stori imeletwa nusunusu.its like wife hana hatia!!!very sorry
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nimeishi naye miaka 10,anatoka nje ya ndoa, je nifanyaje?

    Hongera sana mpaka sahii unaishi na huyo mume...!!!huogopi kuacha wanao,wazazi/walezi,ndugu zako wakikulilia?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajui kusamehe

  6. O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajui kusamehe

    Siwezi mlaumu huyu dada,mume hilo kosa halikuwa la kwanza...pengine mume alikuwa su mwaminifu kwa masuala ya unyumba sasa mke akaona kurudiana naye anaweza kuambukizwa maradhi bure japo moyoni kamsamehe.ajali ni ajali tu hata angemsamehe na kurudiana nae pengine angepata ajali na kufa vile vile
  7. O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajui kusamehe

    Du kila mtu anaomba apate mwenza mwema!!!!Tuombe atupe wenza sahihi tutakaoweza kuendana na,kuchukuliana,kubebana n.k
  8. O

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha usagaji kwa wanawake?

    Nilisoma kwenye jarida fulani chanzo kimojawapo cha hii tabia ni masturbation kwa wadada! Kivipi inachochea hawakueleza
  9. O

    JamiiForums Tanzania Sababu 3 kwanini kupenda kusiwe sababu ya kuoa au kuolewa

    Naona wote mnachanganya kati ya upendo na mvuto.nitarudi baadae kudadavua
  10. O

    JamiiForums Tanzania Maofisini huku nako ni zaidi ya ukuonavyo, mambo siku zote ni nje ndani

    Mmmh kuna funzo kubwa sana kwenye hii story(simaanishi hayatokei maofisini) sasa najiuliza huyo beauty onyinye akipita jf akasoma hii thread.....
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Werevu na Wasomi waliobobea huoa wanawake wenye Elimu ya wastani?

    Wanawake hao walimwomba Mungu awape waume wa aina hiyo.na Mungu asivyo na upendeleo amewapa.ulitaka awape wasomi wenzao tu.....
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hizi kazi siyo za kweli ugopa matapeli

    Hivi kweli walilipia tangazo mwananchi na likatoka.lengo ni nini kulitoa hadi kwenye gazeti...najua hawa matapeli mitandaoni wapo
  13. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mume wa maana, mwenye maisha mazuri Bongo hii

    Mmmh omba Mungu tu,wanaume wenyewe hawa wa leo!!!! Pesa ya mtu ni ya mtu tuuuu ata awe amekuoa.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Mjibu wewe basi
  15. O

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TV mjifunze jinsi ya kuvaa

    Amka na Badilika
Back
Top Bottom