Soko sijapata. Hii leo watu wananunua box kwa shs 2,000/= huko shamba. Nililenga soko la Dar lakini nyanya imafurika kiasi imefika 10,000/= kwa box ambayo hailipi. Nina wateja (madalali) watatu Mabibo, Stereo na Ilala. Tatizo ni bei, nasikia kuna watu wengi wamelima mwaka huu. Kwa kweli...
Wanajamvi naomba kuwakilisha ombi langu. Mimi nimelima nyanya maeneo ya Dumila. Naomba mwanajamvi mwenyefununu juu ya soko anijuze. Napatikana kwa namba 0767310750.
Nafasi aliyopata Mbatia inaweza ikamwangamiza. Wananchi wa Kawe wanataka kumsikia mtu anayeweza kuisimamia Serikali. Kwa nafasi hii James atashindwa maana ubunge wenyewe ni zawadi. Ni lazima awe na adabu kama alivyo Jussa. Mimi naona Mbatia hatasaidika badala yake ataonekana hawezi.
Msipate tabu i hizi hapa From Wikipedia, the free encyclopedia
Prof. Muhongo
Born in Musoma, township, Sospeter Muhongo is a Tanzanian Professor of Geology.[1] from the University of Dar es Sala
He is the...
Huyo Professor si mpaka aapishwe kuwa mbunge ? Na bunge halikutani mpaka Bunge la Bajeti, lakini Rais anaweza kuita Bunge la dharura. Kuna tetesi kuwa mtoto wa mkulima anataka kupumzika; vipi mmezisikia hizi ?
Sina uhakika na kituo cha kushukia lakini panda bus lolote linalopitia Shimo la Udongo (Bus hilo linaweza kuwa la Temeke, Tandika, Mbagala au Mtoni). Utamuuliza Konda atakuonyesha kituo lakini ni baada ya kupita ofisi za UDA. Mabus unapandia Posta Mpya au Kariakoo.
Naungana na wale walio na mashaka na ujumbe huu. Aliyeutoa naomba atusaidie kusema unatoka namba ipi ili tumwulize Professor Nkoma ni hatua ipi ataichukua kwa SMS za kipumbavu (kama ipo kweli) kama hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.