Recent content by OHA

  1. OHA

    Katiba Mpya

    Ndugu zangu watanzania poleni na majukumu na maumivu yaliyotawala miyoyoni mwenu takribani miaka 62 tangu nchi hii kupata uhuru. Ndugu zangu msingi imara ndiyo huweka uimara wa nyumba inayojenda ukiboronga katika msingi nyumba hata uimarishe vipi nyufa za msingi lazima zionyeshe udhaifu wa...
  2. OHA

    Mtazamo hasi kwa wasiyojielewa juu ya Katiba

    Katiba ni nini? Tunaweza kusema Katiba ni dira ya taifa au mwongozo mama wa taratifu na miongozo itumikayo kuliongoza taifa. Kuna mambo muhimu sana mengi ambayo ni ya msingi katika mustakabali mzima wa taifa katika Katiba. Uhuru, mwanachi anapaswa kuwa na uhuru wa kukosoa serekali pasipo...
  3. OHA

    CHADEMA lialia tukutane hapa

    Kwani Nyerere alikaa madarakani kwa muda gani
  4. OHA

    Vijana wasomi wa Tanzania

    Kuna haja kubwa ya kutaka kufanya uchunguzi ili kubaini katika elimu ya vijana wanayo pata hapa nchini inawasaidia kitu gani? Kwakuwa swala la katiba ni swala ambalo vijana kama vijana wangekuwa na ari kubwa kulipigania ili kukomboa nchi na kujenga katiba isiyo na ubagudhi kwa mustakabali wa...
  5. OHA

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Natumaini uamuzi mwema wa kuweka kiongozi anaye weza kuongoza taifa ni tuwe na katiba imara ambayo hata ukimweka mtoto mdogo nchi isitegemee kuendeshwa na mtu iendeshe kwa misingi ya sheria na kwakuwa rais ni taasisi na taasisi imara ni katiba
  6. OHA

    Dkt. Ndugulile: Kutoza kodi Mapema kwenye Biashara za mitandaoni kutaua ajira za Vijana wengi na kudumaza e-Commerce

    Nakubaliana na Ndugulille kama serekali imeshindwa kuajiri kwanini ianze kupambana na vijana
  7. OHA

    What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

    Chadema sio wajinga kwa namna unavyofikiri wanasubiria vibe lipite wafanye mazungumzo then utaona nini kinaendelea utaelewa tu kaa sindano iwaingie
  8. OHA

    CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Kitu ninacho washangaa wana ccm nchi ni yetu sote Mbowe na chadema hatupiganii nchi ya chadema tunapigania Katiba ambayo ni ya Taifa la Jamhuri ya muungano wa Tanzania (URT). Tungekuwa na katiba isiyo na viraka viraka sina maana nimedharau katiba yetu lahasha nina maana hii tuliyo nayo...
  9. OHA

    What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

    Kwa mtu ambaye anajua kufikiria na kuunganisha matukio anaweza akawa ana hoja za mashiko Kwanza tukio la malim seif na Magufuli halifanani kabisa na tukio lililotokea jana au tukio la wiki mbili zilizopita kati ya tundu lisu,mbowe na Samia. Haya ni matukio mawili tofauti na tunapaswa kujua...
  10. OHA

    CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Ukisoma kwa makini utaelewa nilikuwa na maanisha wasio ona mbele kama aonavyo freeman na chama chetu ungekuta imeshakufa na ndiyo ilikuwa maana halisi pengine sikueleweka kimaandishi
  11. OHA

    CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Siasa sio matusi nimesema watu wasio na mtizamo wambele Maana yake freeman anamtizamo wa mbele na ndiyo maana mpaka sasa chadema kinadumu umesoma vibaya neno halina maana bali mwenye maana ni mwenye kutoa neno
  12. OHA

    Chadema

    Huwezi kuita wahalifu kwakuwa bado they are innocent util they proven guilty by the court of law
  13. OHA

    CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Nakuhakikishia chadema tumebeba viliyo vya watanzania na ndiyo chama kilichojipambanua kuleta Tanzania tunayoitaka
  14. OHA

    CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Chadema ipo miyoyoni mwa watu na ndiyo maana hata kipindi kilichopita watu wasio tazama mbele kama Mbowe walijua imekufa Sasa ndiyo imepata Nguvu kubwa kuliko chadema ilivyoanza nichama cha watu wenye uelewa nikimaanisha uongozi na ni watu ambao wanaijua kesho kuliko leo na hakika chadema ni...
Back
Top Bottom