Recent content by Official mkapa

  1. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali ya Lori na Hiace mkoani Tabora

    Wapumzike kwa aman 🙏🙏
  2. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Hii nchi ina viongozi WA hovyo Sana basi Tu, Mnatoa gesi hapa mnaipeleka Kenya alfu muda huo huo unawakamata wananchi wako na magunia ya mkaa. Kama hamtaki tutumie mkaa mtuachie Hy gesi, mwenda zake alikuwa na akili Sana. Ni Mambo ya hovyo Sana,nlifiki labda Hy gesi ingefanyiwa utaratibu...
  3. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

    Wizara zote Mama kapatia ila hapa tumepigwa
  4. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni apata chanjo ya Virusi vya Corona

    Nmeshtuka nkajua m7 kapata kolona nkajua mzee nae tushampoteza... Nm: ningefrahi Sana
  5. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Iringa awekwa mbaroni kwa kuchapisha Facebook kuwa Rais Magufuli anaumwa

    Haya ni mambo ya kutisha Sana 😂😂😂
  6. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wadaiwa kufuga Fisi na kuwatumia kama usafiri

    Kuwa uyaone mwanangu nlijua magorofa😁😁😁
  7. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Muungano wa Afrika kupokea dozi milioni 300 za chanjo ya Urusi

    Utakufa pekeako... Na ww ni beberu
  8. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Daraja la Busisi kupewa jina la Rais Magufuli ili akumbukwe katika Utawala wake

    Unatakiwa upimwe akili we sio bule
  9. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Bayume Mohamed Husen: Mswahili aliyeuawa kwenye kambi za manazi Ujerumani

    Katuwakilisha vyema kabisa mabaharia wa tz
  10. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Forbes: Top 10 Richest Men in Tanzania for October, 2018.

    Ndio kimsingi moo anazidiwa mbali sana na bakhresa
  11. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania Forbes: Top 10 Richest Men in Tanzania for October, 2018.

    Hao Forbes naona km hawana ripoti za bakhresa vizuri. Kuna sehem nlipita pita uko nkaona bakhresa ana km $10.6 billion.in short hata uyo moo hawez mfikia bakhresa.
  12. Official mkapa

    JamiiForums Tanzania SADC Mungu anawaona jinsi mnavyoitenga Msumbiji na matatizo yao

    Yes this is the fact coz msumbuji ilikuwa koroni la ureno zaman sasa kaamua kuludi kwa njia nyungine ili afanye alichokusudia, wanafazili ugaidi Alf wanakuja kwa kigezo cha kulinda sio kwamba watawaondoa hao magaidi . wataendelea kubaki hapo wakichota mafuta tu.
Back
Top Bottom