Jamani inategemeana na chuo ulichosoma diploma yko mfano chuo cha mipango ukipata 2.5 ikienda nacte inafk 3.0 hyo ni kwa mwka Jana na kuna watu nawajua wako first year now.... Lkn baadhi ya vyuo GPA hushuk mfano SUA, IFM nk
Habari za muda huu wadau... Naomba msaada namna ya ku calculate GPA za nacte kwa diploma anayetak kwnd degree... Mfano unakuta GPA ya mtu alopata chuo ni 2.7 then akifanya application nacte inapanda au nyingine kushuka hiii inakuwaje? Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.