Msaada jinsi ya ku-calculate GPA ya NACTE kutoka diploma kwenda degree

Apr 15, 2017
5
1
Habari za muda huu wadau... Naomba msaada namna ya ku calculate GPA za nacte kwa diploma anayetak kwnd degree... Mfano unakuta GPA ya mtu alopata chuo ni 2.7 then akifanya application nacte inapanda au nyingine kushuka hiii inakuwaje? Asante
 
Aiseeeh, GPA 2.7 kwanza ni ya kitoto Sana.

Ngoja wajuvi wa mambo hayo waje ili wakuchane maana matokeo hayo, mmmmh!!
 
Aiseeeh, GPA 2.7 kwanza ni ya kitoto Sana.

Ngoja wajuvi wa mambo hayo waje ili wakuchane maana matokeo hayo, mmmmh!!
Mkuuu kuna vyuo vinatoa matokeo tofaut na nacte mfano chuo cha mipango unamaliza na GPA ya 3 ukidahiliwa nacte inasoma 3.5
 
Back
Top Bottom