Jamaa kapeleka gari lake kwa fundi
lipakwe rangi.
Fundi: Nilipake rangi gani?
Jamaa: Yoyote ile isipokuwa
nyekundu, nyeupe, bluu, manjano,
kijani, wairdi, nyeusi, chockleti,
kijivujivu, maziwa, zambarau,
kahawia na ya chungwa. Lini
utakuwa umemaliza nije kulichukua
nianze kupiga misele...