Recent content by odindo

  1. odindo

    JamiiForums Tanzania Majina ya wagombea Ubunge jimbo la Kinondoni yatoka, Mgombea wa UKAWA akatwa

    Huyo alive sain kama hana mamlama why asain waanze na huyo
  2. odindo

    JamiiForums Tanzania Magazeti Ya Kumhusu "Lowassa" Yaongoza Kwa Mauzo

    Na ukimaind nakutumia tena Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa Lowassa...
  3. odindo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Hayo ni yako maana chama ni watu sio mtu
  4. odindo

    JamiiForums Tanzania Pius Masuruli ndie mgombea Ubunge Bunda mjini kupitia CHADEMA!

    Weraweraaaaaaa wasira jiandae kisaikolojia.
  5. odindo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwenye Mini Supermarket

    Huna ndugu yako aliemaliza form four na mwenye umri wa miaka kuanzia 18 afanye hiyo kaz maana hueleweki.
  6. odindo

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    R I P Anthony. Tulikupenda lakin Mungu kakupenda zaidi.
  7. odindo

    JamiiForums Tanzania Kinachojili usiku huu katika mkutano wa CCM kutoka ukumbi wa CCM Convention Center

    Wenye kambi zao matumbo joto
  8. odindo

    JamiiForums Tanzania Kufanikisha haya kwa Tanzania nadhan ni karne ijayo

    Mambo 10 usiyo yajua Kuhusu Pul Kagame na serikali yake Rwanda. 1.Kila Mwanafunzi anay e fika kidato cha kwanza anapewa Laptop. 2.Barabara zote hupigwa deki kila mwisho wa week na wanajeshi. 3.Msafara wa Rais hauzidi Magari ma Tatu. 4.Ukigundulika umetoa au umepokea rushwa unatiwa ndani...
  9. odindo

    JamiiForums Tanzania Utambulisho mpya wa Jiji la Dar es Salaam

    Ila parking ni shida!
  10. odindo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Wanaotoa matangazo hayo ni matapeli tu maana toka waanze kuyatoa now ni miaka mitatu sasa. wapo magomeni mapipa nyuma ya bank ya DTB(Diamond Trust Bank)
  11. odindo

    JamiiForums Tanzania Picha: Jamaa arukishwa kichura baada ya kugusa ukuta Ikulu

    Muwe mnatembelea ukulu mara mojamoja muone mazingira yalivyo. Nathibitisha hapo ni ikulu barabara iendayo ferry
  12. odindo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Hawa jamaa kila mara wanatengeneza matangazo mapya na wana muda mrefu sana toka waanze mchezo huo. Na kila tangazo wanaweka mishahara tofauti. Pia huwez kusoma form yao mpaka utoe hiyo 2000.
  13. odindo

    JamiiForums Tanzania Kirombelo: Afsa mtendaji wa Kijiji afungiwa Ofisi

    Watendaji wa kijiji ni watumishi wa chama au watumishi wa serikali????
  14. odindo

    JamiiForums Tanzania Toyota Platz for sale

    Mkuu bei gan hiyo???
  15. odindo

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Umesahau urojo!!!!!
Back
Top Bottom