Pius Masuruli ndie mgombea Ubunge Bunda mjini kupitia CHADEMA!

Pius Masuruli ndie mgombea Ubunge Bunda mjini kupitia CHADEMA!

Voice of Mara

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
358
Reaction score
127
Kamanda Pius masuruli ameshinda kura ya maoni CHADEMA jimbo la Bunda mjini.

Huku kamanda Ester Bulaya amechukuwa ushindi kwenye viti maluum.

Tunaiona Bunda mpya hiyoo!!
 
Hapo kidogo CHADEMA mmenifurahisha ingukuwa sio haki Bulaya kupewa Ubunge wakati kuna makamanda wamepambana muda mrefu na wanakubalika Big Up CDM HAPO Bunda Bulaya asaidie kampeni kumuangusha Wasira
 
dah huo ni ukomavu wa kisiasa nimeamini umakini wao hapo tyson ajiandae kupelekwa puta mwaka huu ktk jimbo la bunda yetu macho na masikio:yield:
 
rekebisha maneno kwenye sentensi tafadhali, na ujitahidi kujazia tupate uondo huo.
 
hapo chama kimecheza zaid ya messi na ronaldo......ushindi saa 4 asubuhi.
mlalo wa chali kifo cha mende
 
Back
Top Bottom