Recent content by odger

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake wa kizazi chetu. Mimi siwaelewi, sijui ninyi

    Mimi nakulavu wewe tunafanyaje?
  2. O

    JamiiForums Tanzania 2006 Ulikuwa wapi

    nilikuwa na jifunza gereji nikaweza nikaanza kusave hela sasa Nina gereji kibao na ufundi nimeacha
  3. O

    JamiiForums Tanzania 2006 Ulikuwa wapi

    hatamimi nilianza mwaka huo bado sijaoa wewe ushaolewa?😄
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amapiano kali zaidi kuwahi kutokea Bongo hii (Top 5)

    Mambo mrembo?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

    Hawa niwafanya Kazi wake?wanao tuban😄
  6. O

    JamiiForums Tanzania Msaada, punyeto inanisumbua sana

    asante mkuu kwa kunielewesha.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Msaada, punyeto inanisumbua sana

    wataalamu hao wanapatikana wapi mana nimechanganyikiwa sasa
  8. O

    JamiiForums Tanzania Msaada, punyeto inanisumbua sana

    hivi wadau ikiwatangu kubaleh Hadi umri wa miaka 27 hujagonga Dem na bado unawaogopa + aibu hapo inakuwa ni kawaida au nimelogwa? mana natamani niende kwa mganga sasa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia hapa naona kabisa kama Taifa, bado tunasafari ndefu

    magu alijalibu kuijenga tz kidogo tuu watu wakaanza kumlaani Hadi Sasa wanamlaani iliuendelee huhitaji kubembeleza watu fata lengo lako kama magu lakini Sasa nimwendo wa kubembelezana hatuta fika popote kwa mwendo huu. R.I.P magu.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hali ya wanachuo mtaani

    zamani nilivyokuwa nasikia mtu amesomachuo nilikuwa namheshimu sana. Nilidhani wanajua/ wamesomea vitu vingi sana kumbesio kabisa Kumbe wanasomea kitu kimoja tuu ukimaliza unasaka ajira ukikosa imekula kwako mana vitu vingine ukikosa ajira kujiajiri inakuwa mtiti labda ujiongeze ukajifunze kitu...
Back
Top Bottom