Recent content by odera

  1. O

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watumishi wa umma Dar kufanyia kazi nyumbani Januari 27 na 28, 2025 sababu ya Mkutano wa Nishati Afrika

    Ufafanuzi hapa kwani wamesema ofisi za umma hata ambazo hazipo maeneo ya mkutano pia hakuna kwenda kazini? Kwa mfano kwa ambao wapo maeneo ya ubungo pia tangazo hili linawahusu
  2. O

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia Mfumo wa Utumishi ESS na PEPMIS

    Habari Msaada wa kusaidiwa kwani inaniandikia ujumbe ''Exception occured while registerring new user. Please try again later''
  3. O

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi kifaa cha kufungulia buti

    Habari naomba kuuliza mwenye kujua naweza pata wap hicho kifaa ni Kwa ajili ya kufunga na kufungua mlango wa buti la nyuma kwa ajili ya gari aina ya Alphard
  4. O

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa kubadilishwa kuanzia Jumatano Septemba 14, 2016

    kwa sisi tuliochukulia dar na kwa sasa hatupo dar tutaenda kuchukulia wap?"
  5. O

    JamiiForums Tanzania Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Inawezekana MTU akawa anapata siku zake alafu akawa mjamzito? Na kwanini mwanamke tumbo linakuwa kubwa?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

  7. O

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Habari ya kazi nami naomba mnipe makadirio ya kupaua kuanzia bati mbao na pesa ya ufundi ukubwa wa nyumba yangu ni 12.5mx13.5
  8. O

    JamiiForums Tanzania Paua kwa bati halisi na bei za kiwanda

    yah
  9. O

    JamiiForums Tanzania Pata bati kiwandani kwa bei ya kiwanda okoa gharama,Jenga kwa gharama nafuu

    kwa mkoa wa tanga una wakala?
  10. O

    JamiiForums Tanzania Paua kwa bati halisi na bei za kiwanda

    nipo tanga
  11. O

    JamiiForums Tanzania Paua kwa bati halisi na bei za kiwanda

    nipo tanga nitapata wakala huku
  12. O

    JamiiForums Tanzania Epuka gharama zisizo na gharama,

    ni vizuri ungetupa na bei kabisa tukajua ili iwe rahisi
  13. O

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya Gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu 3

    nami pia nipeni gharama ya kujenga nyumba mpaka kwenye linta tofali nishapiga ukubwa wa nyumba ni 13mmx15mm ya vyumba 4 eneo lilipo ni tanga mjini.
Back
Top Bottom