Recent content by Octa_dre96

  1. Octa_dre96

    Adult Talks 3: True Love Is Rare, but Exist. Just Know When To Quit Your Nonsense Lifestyle

    Daaah huu uzi ni mkali balaa...You went to say all of the shit.....Sisi hasa wanaume huwa unakuta kuna mtoto wa mama mkwe anakuelewa kinoma na yuko tayari kufanya lolote kwa ajili ya penzi lenu...ila sisi tunawaonaga kama hawatoshi....unaamua ku deal na machura ya mtaani....akishasepa ndo...
  2. Octa_dre96

    Wafugaji wa broilers huko kwenu soko lipoje?

    Uko wapi? Mi nina soko la uhakika hata kama una kuku 10k. Ili mradi wawe na vigezo vinavyohitajika. Nipo Dar
  3. Octa_dre96

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vihela vya maji vipo kwa kanji ukitulia wazee....Matreni msiyape headline sana Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
  4. Octa_dre96

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu Jackpot ya Sportspesa imepaa mpaka mili 700. Hivi hakuna wa kuichambua hii...Ukiipata umemaliza kazi na kanji [emoji28][emoji28][emoji28] Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
  5. Octa_dre96

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu kule sio pa mchezo bora huku kwa kawaida.... Kule unacheza na Kompyuta ambayo ana icontrol Kanji huyo huyo. Kwa hyo kumla kupitia virtual ni ngumu sanaaa Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
  6. Octa_dre96

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportybet mbona safi tu mzee Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
  7. Octa_dre96

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Magoli Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
  8. Octa_dre96

    SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daaah hili andiko ni kubwa sana. Lina nondo tupu za kufanya namna ya kubadili mtazamo mzima wa kubadilika kutoka kutegemea kuajiriwa mpaka kutengeneza nafasi za kuajiri watu. Natamani kupiga kura ila namna ya kupiga ya kupiga ndiyo sifahamu... Kama unaweza nielekeze nifanye hivyo. Sent from my...
  9. Octa_dre96

    Ewe Mwanachuo, pitia hapa uepukane na aibu ya kuwa msomi

    May be umem "quote" vibaya jamaa lakini huyu jamaa amejaribu kuonesha uhalisia uliopo mtaani juu ya wasomi hasa wanaomaliza vyuo vikuu na kurudi mtaani..... Sijaona kama ametaja sehemu kwamba elimu sio muhimu... Bali ameonesha umuhimu wa kujiandaa na maisha ya mtaani mara baada ya kuhitimu...
  10. Octa_dre96

    Mpenzi wangu ameathirika, je nimeambukizwa?

    Daaah babake unaeza kufa kwa stress mwngu [emoji26][emoji26] Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
  11. Octa_dre96

    Changamoto katika mafanikio

    Hizo mada zingine umeziandika wapi?
  12. Octa_dre96

    Changamoto katika mafanikio

    Umeongea na mimi mkuu kabisa yani
  13. Octa_dre96

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Join fantasy Premier League tuone ubabe wako katika kupanga kikosi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/cr2vq7
Back
Top Bottom