Recent content by ocadecost

  1. O

    Uber has officially launched in Dar es Salaam, Tanzania!

    nimeitumia leo, its very affordable aloo, from posta to Survey nimelipa 10,000 tuu, huduma zao kwa kweli ni nzuri, ila naona iwe rai kwa madereva Tax wajiunge kwenye hii kitu kwan in the future naona watu wengi sana watahamia kwenye hii huduma. affordable, secure an huduma ni nzuri sanaa.
  2. O

    Makonda: Wanaodai kuna tatizo la ajira, wana upungufu wa kufikiri!

    mbona hili swala halihitaji mtu kuwa genius kuliona, Tatioz la ajira ni kubwa sana hapa Tanzania, na sidhani kama serikali imechukua hatua stahili kupambana na matatizo haya. lakin tukirudi upande mwingine oportunity za kujiajiri Tanzania ni nyingi sana, so vijana tunatakiwa kubadilisha mawazo...
  3. O

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    Ukiangalia kwa upande mmoja upo sahihi sana ila ukiangalia hili swala kwa pande zote linashida kubwa sana, just imagine ukawa wanaamua kusimamisha mgombea mmoja kila jimbo, usisahau kuna drop out kibao watakaojiunga na ACT ili tuu waweza kushinda kiti cha ubunge, na kwa namna hii msishangae ACT...
  4. O

    Kikwete: Tunapinga mapinduzi

    Mapinduzi kwa nchi yeyote si ya kuyaombea sabb wanaoumia na wananchi wasio kua na hatia, ivyo basi ni busara sana wanasiasa kufikiria vyema kabla hawajafaya maamuzi ambayo yanaweza kusababisa wananchi anaowatumikia wakaingia kwenye machafuko au kuumizwa kwa namna yeyote. cjui wasiasa wanasahau...
  5. O

    Kwa mara nyingine Waislam kutumika tena kama mtaji wa CCM 2015

    naiman ni busara sana kutochanganya DIni na Siasa
  6. O

    ACT - Wazalendo waomba kujiunga na UKAWA

    Kisingi kama ACT inataka kukua basi haina Budi kusimama chenyewe kwenye uchaguzi unaokuja, Ila upande mwingine Ikisimama kama ACT itagawa kura za wana ukawa ambao wameamua kuungana. Ila Ikiungana na ukawa watapa nafasi chache sana kusimamisha wabunge. so Kila decision wanayoifanya itakua na...
Back
Top Bottom