Waandae na njia mbadala ambayo ni rasmi kama wameshagundua kuwa kunahaja ya usafiri wa watoto kwenda shule. Siyo kuzuia bila kutibu..... Maana hiyo ni sawa na kukata mguu sababu ya kidonda kinachoweza kutibika
Mwanaharakati Tzs
Kwa jinsi hali inavyoendelea huko Kibiti ni dhahili waasi wanataka kuuteka mji ili kuweka makazi yao kama ilivyo katika nchi zote zenye migogoro ya vita kutokana na kuwepo na miji ambayo huwa makazi ya vikundi vya uasi. Wito wangu kwa Serikali kutafuta suruhu ya yanayotokea huko mkoani Pwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.