Recent content by Obonyo

  1. O

    Natafuta nyumba maeneo ya Kimara au Ubungo

    Budget yako kiasi gani?.
  2. O

    Kiwanja kinauzwa chanika, nusu heka kwa 6.8mil

    Chanika kuna uvamizi mkubwa wa viwanja kwa sasa.Kuweni makini sana katika ununuzi kwani unaweza kuishia jela baada ya kununua kutoka kwa wavamizi pindi mwenye kiwanja atapokuja kukamata wavamizi na wewe ukidhaniwa ni mmoja ya wavamizi.
  3. O

    Mkurugenzi mkuu TPA na msaidizi wake kortini kwa ufisadi

    Bado Bw. Kipande kwenye hii ya DailyNews Mobile Edition - Stakeholders contest Dar port tender ruling - http://m.dailynews.co.tz/index.php/biz/33537-stakeholders-contest-dar-port-tender-ruling/
  4. O

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Kitu ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba,Rais leo alikuwa anafungua Bunge la Katiba au alikuwa anamjibu Warioba?,kwanini ame-preempt sides tofauti za Wabunge akiwa kama Rais?,kama anafika hadi kulazimisha serikali mbili,sasa kulikuwa na haja gani ya kuunda Tume yenye nia 'geresha' ya kusikiliza...
  5. O

    Wahadhiri CBE wafukuzwa kazi kisa kubanjua wanafunzi darasani

    Wakuu wa vyuo vyote IFM & CBE wanaitwa Mjema ila ni watu wawili tofauti,si ndugu na wote wamepewa hizo nafasi miaka ya karibuni.
  6. O

    Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Huu upepo mkali unao ambatana na mvua rasha rasha,umesababisha hadi umeme kukatika sehemu kubwa kama ilivyo kawaida ya miundombinu yetu mibovu!.
  7. O

    BBC Yapata pigo

    That dude was truly smart,he indeed attended Harvard Un..which compliments the said fact.
  8. O

    Mwakyembe kutangaza ajira alizoshinikiza TPA

    Tatizo la watu hapa hawaujui ukweli Tina anaouandika,ila wanajua siasa za magazetini za Mwakyembe zinazoendelea.Mtu kama Magesa anapewaje Idara na akili fupi aliyonayo?.Sasa hata kwenye basketball association wamemuona hafai,wamempiga chini kwenye uchaguzi wiki iliyopita hata baada ya kuhonga...
  9. O

    Afanyeje kumpima mtoto DNA?

    GCLA ipo mbele ya Ocean Road Hospital,njia ya nyuma ya kwenda Ikulu/Ferry...ulizia kwa Mkemia Mkuu wa Serikali.
  10. O

    Afanyeje kumpima mtoto DNA?

    Nenda Government Chemist Laboratory Agency (GCLA) ndio wanapopimia, pia utapewa maelekezo hitajika yote.
  11. O

    Ufisadi: Mikakati ya kujichotea mamilioni ya pesa TPA yaandaliwa!

    Imeshasemwa sana hapa kuwa hii team ya Mwakyembe,Kipande na Magesa (NEC-Member,ambaye anataka kugombea Ubunge wa Kigamboni hapo 2015) ni sumu kali kwa uhai na maendeleo ya TPA na Taifa letu kwa ujumla wake.Alafu walivyo wajanja katika kuwahadaa wananchi,leo wameonyesha mafanikio hewa ya TPA...
  12. O

    SUMATRA yamuumbua Mwakyembe, yaungana na bodi iliyotimuliwa kuibana TPA

    Bado najiuliza kwanini Rais na Serikali yake haichukui hatua kuhusu uovu na uvunjwaji wa sheria ulio waazi kabisa uliofanywa na unaoendelea kufanywa na Mwakyembe,Kipande na Magesa.Mashahidi wapo wengi tu kuanzia Board zilizovunjwa,wafanyakazi wa TPA wa zamani na sasa,wadau wa TPA kama...
  13. O

    Mwakyembe aigeuka rasmi bodi Bandari, kuivunja

    Mimi nadhani Rais inabidi aingilie kati swala hili la TPA,kwa sababu hadi leo hii Mwakyembe na Kipande hawajatoa na kufanya mpango mkakati wowote unaoleta tija pale TPA ili kuboresha mapato na huduma badala yake wanafanya vitu rahisi kwa kuwahadaa wananchi na kuvunja sheria tu.Baadhi ya...
  14. O

    Bandari ngoma mbichi: Rushwa kumuokoa Kipande

    Arabianfalcon,Umeangea hoja nzito na zenye ukweli mtupu.
  15. O

    Bandari ngoma mbichi: Rushwa kumuokoa Kipande

    Tina,tafadhali sana endelea kutupa taarifa kwani pale TPA kwa wanaopajua kumezidi kuharibika tu.Board waendelee kukomaa hadi wamtoe Kipande ili kweli ufanisi wa Bandari uliokusudiwa uje,faida ionekane kweli si siasa ya magazetini,wateja kama Maesk warudishe shehena hapo Port of DSM,mahusiano...
Back
Top Bottom