Nikweli huyo mama alikuwa mtata sana ila alikomeshwa alipokuwa DC wa bunda akilala usk ndani asbh akiamka anajikuta yuko nje .Ndo kisa cha kumhamisha na kum promote kwenda kuwa Rc Dar
Wapendwa kuna mtu mmoja nilimuona kwenye YouTube ni fundi wa kutengeneza umeme wa majumbani kwa kutumia sumaku anaitwa Msuya yuko Dar maeneo ya kawe kulingana na alivyojitambulisha.
Naomba mwenye namba yake ya simu tafadhali anitumie au walioko karibu nae naomba wanisaidie kumtafuta wamuombe...
Chama kinachopata kura nyingi za ubunge ndo kinapewa viti vingi maalumu kikifatiwa na kilichofuata. Hivyo chadema ndo kina sifa hiyo kwani kura walizopata wabunge wao ni nyingi kuliko za wale wa vyama vingine vya mageuzi
Ndugu wanamabadiliko wenzangu mlioko ndani ya vikao vya maamuzi CHADEMA chonde chonde mnapoenda kwenye kwenye kura za kuteua mgombea wa urais tafadhalini kazi moja tu mlionayo fitina na figisu zenu ziwekeni pembeni tuleteeni mgombea ambae ni chaguo la wananchi na siyo chaguo lenu binafisi...
Hiyo ni moja ya dalili kuwa watawala hawataki kutoka madarakani na wanapanga kufanya maovu zaidi na hasa wakati huu wa uchaguzi mkuu. Wajuzi wa mambo tupenì mwongozo tufanye nini ili tudai katiba mpya kabla ya uchaguzi wa October?
Je tunaweza kusaini fomu maalum na kwamba tukifika idadi kadhaa...
Nikweli dr slaa alikuwa anatosha kwenye hiyo nafasi aliifanya cdm ikaaminika na kupendwa na wengi ndani na nje ya ccm. Ila wakati wa huo siasa utawala/siasa vilikuwa fair kulinganisha na wakati wa kuanzia 2016-now no way unaweza kuwalaum sana waliofuatia baada ya dr slaa kutokana na mazingira...
Uchambuzi wako uko vizuri kwakuwa na yeye lisu anapita humu atachukua anayopaswa kuyafanyia kazi ila lisu ndiye mwanasiasa pekee anayefaa kuwa rais kwa kipindi hiki ili arekebishe mifumo ya sheria na utawala
Lisu ni mpango wa mungu mnaompinga mnachosha akili zenu tu. Lisu ni mteule kutoka kwa mungu siyo chadema hivyo kaeni mtulize mishono yenu hamuwezi kushindana na mungu. Namuelewa sana lisu na ndiye rais wa tanzania lisu siyo kiwango kidogo kamuulize kikwete analijua hilo
Alimdhihakije? Alimkejelije? Ungeeleza hayo ili nasisi ambao hatukuwepo tujue halafu tupime na kuchuja. Vinginevyo hizo ni ndoto kama ndoto zingine. Lisu hana hizo sifa unazotaka kutuaminisha Lisu ndiye mkombozi wa kweli katika hii nchi na ndo maana mungu hakuruhusu afe licha ya risasi zote zile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.