Recent content by Obel

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    We acha tu
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    Hakika! Hata mm naweza kuandika msg ya kuomba pesa nikafuta nikaandika nikafuta tena jasho linajitoka! Aisee kuomba ni kipaji! Lkn Ndio hivyo akina Sisi n
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mambo 6 ambayo mwanaume hapaswi kuvumilia kamwe kutoka kwa mwanamke

    Aisee huyu Ndio mwanaume sasa! Mwanamke anaepata mwanaume anaetambua uanamme wake mwenye akili na mwenye msimamo Wallah amepata mwanaume!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    Nielekeze namna ya kuset huo mfumo sitaki tena vichomi nmechoka
  5. O

    JamiiForums Tanzania Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    Furaha yangu inatokana na mm mwenyewe! Nawezaje kujipa furaha?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    Mbona sikutani na watu sahihi jamani
  7. O

    JamiiForums Tanzania Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    Tatizo namuona kila mtu mwema then baada ya mda ushazama mazima Ndio kasheshe linaanza! Tuombee Mungu tupate wanaume wenye Nia njema
  8. O

    JamiiForums Tanzania Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    Mapenzi nayapenda lkn yameshanichosha
Back
Top Bottom