Recent content by obedimbilinyi

  1. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Chadema wakusanya watu kama karanga eneo la viwanja vya kayanga.

    Kamanda pamoja sana endelea kutujuza
  2. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU fanyeni Uchunguzi wa Haraka Wabunge Kuhongwa na Wafanyabiashara sakata la ESCROW

    Dah kazi kwelikweli mbona Ole Sendeka alikuwa anamtetea W/mkuu!! Dah pengine hiyo ni ESCROW unayoijua ww iliyojulikana kwa Watanzania ilishamalizwa na bunge Tar 29/11/2014 saivi tunasubiri utekelezwaji tu!!
  3. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Pongezi IPP Mtaingia kwenye Kumbukumbu za ukombozi wa Taifa hili

    Shukrani sana itv na radio 1
  4. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania PAC imeudangaya umma?

    Ukweli upi au na ww ulishika vijifuko, vijirumbesa na vijibox?
  5. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    Shukrani sana nimepata ripoti bila chenga.
  6. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Hilo ni la mcngi.
  7. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Dah inasikitisha na ndicho kilichotokea!!
  8. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CCM ikulu ya Dodoma muda huu kupitia mapendekezo ya PAC

    Jana mzee Warioba akijibu swali kutoka kwa kijaana alijitambulisha kwa chama cha ccm alisema kuna ccm imani na ccm maslahi, mambo ni imbalance kabisa ccm imani ni ¹/4 na ccm maslahi ni ³/4 hii ni hatari sana.
  9. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Shuhudia ajali ya toyota hiace iliyouwa watu tisa na kujeruhi wengine tisa Shinyanga

    Poleni sana ndugu zetu, watanzania wenzetu.
  10. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

    Sanaaaaa.
  11. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

    Ubongo wako umelala usisahau kujifunika neti, usiku mwema.
  12. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanafunzi wa Arts

    Ok, xo unatumia nn if not scientific procedures in abortion??
  13. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanafunzi wa Arts

    Mwana art akitoa mimba si atakuwa mwanasayansi? Au anawezaje kutoa mimba bila uwepo wa mwanasayansi? Lakini me naona tumekuwa tofauti binafsi nimeona wanasayansi wakiongoza kwa tabia mbaya mpaka za utumizi wa madawa ya kul....e...v..y@ niaje science mnayosoma haiwasadii? lakini wewe tofauti pia...
  14. obedimbilinyi

    JamiiForums Tanzania Kikao cha dharula: Kitimoto kwa wabunge wa CCM wanaopigia kelele Escrow

    Usha (Chukua Chako Mapema, ©©m???)
Back
Top Bottom