Recent content by obasa

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe: Mahakimu walioshinda kesi za rushwa wasirudishwe kazini, wananchi hawana imani nao

    Na wale majaji 2 wa escrow wasisahaulike
  2. O

    JamiiForums Tanzania Maafisa wapya wa JWTZ wanaapishwa Ikulu Dar es Salaam leo na siyo Monduli

    Hivi bado halijabomolewa tu, siku nyingi sijapita hapo
  3. O

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU TUNAOMBA ADA ELEKEZI KWA JANUARI 2017

    Watoto walioingia kidato cha tano mwaka huu walifanya hivyo bila ada elekezi hivyo kulipa ada bila mpango unaoeleweka kinyume na ahadi ya waziri. Sasa januari ijayo watoto wanatakiwa kuanza kidato cha kwanza kukiwa bado kimya juu ya Ada elekezi. Kuna mwenye kulijua hili? Waziri naona yuko busy...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Bei mpya elekezi ya sukari, yafikia 2,200 kutoka 1,800

    Bodi ya sukari hawajasikika muda mrefu, walitumbuliwa? Wamejitumbua?
  5. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa Bei mpya elekezi ya sukari, yafikia 2,200 kutoka 1,800

    If you can't fight them, you join them - serikali imejiunga na wafanyabiashara
  6. O

    JamiiForums Tanzania Profesa Amechelewa.. !

    Wakilazimisha kupitisha matakwa yao kwenye bunge la katiba kwa kutumia wingi wao na sisi tuje tutumie wingi wetu kukataa waliyoyapitisha na hatimaye tuje kuwakataa 2015 kwa kutumia huo huo wingi wetu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Madudu mengine ya William Mhando ndani ya TANESCO

    mkubwa si kwamba wanafukuzwa tu, kuna habari kuwa huyu jamaa atapata haki zake kama vile aliyeachishwa kazi na siyo amefukuzwa!!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa na Lugha ya Vita: Hekima ya kupunguza sababu ya kuingia vitani na Malawi

    mtu kama LE na mafisadi wenzake wanafikiria tender za ku-supply vifaru,AK 47,mabomu na silaha zingine bei na mauaji kama richmond
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hodi ndani ya jf

    Hodi mpaka ndani
Back
Top Bottom