Nsabhi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2011
- 1,093
- 162
huwezi kujua how correct uko kwenye hili. Msidhani wao watapigana hivyo vita shauri Mzee Mwanakijiji mimi nakubaliana kabisa na mawazo yako umeeleza vizuri sana kuwa vita si lelema lakini katika hali iliyofikiwa kuwa Mawalawi walikuwa tayari wamegawa blocks " vitalu"katika eneo lote la ziwa wakati wakijua wazi mazungumzo yalikuwa yanaendelea ni uchokozi ni tangazo la vita.Hivi unapovamia mipaka ya nchi nyingine unategemea nini kwa viongozi walie wanune au wacheke? Wamalawi walionesha kuyapuuza mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea. Hi sawa na jamaa kukuchukulia mke wako na kwenda naye huku wewe ukiendelea kumchekea kuwa atamrudisha tu hapo baada au utazungumza nae ile hapa baadaye aache hilo halikubalini.Unapochokozwa si lazima wakati mwingine ujiandae unaweza kutumia nguvu uliyonayo kupambana na huyo mchokozi hata kama anakuzidi nguvu.Mimi naungana na Sitta, Membe na Lowasa katika kukemea hili.Uoga wetu utakuja kuuza nchi./QUOTE]