Recent content by Obamamtoto

  1. Obamamtoto

    Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Chama kinafuata mawazo ya mtu mmoja ndio tatizo siyo kila kitu ni cha kupinga hata kama ni mpinzani
  2. Obamamtoto

    Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Haijalishi raisi yupo wapi ndani ya nchi hii awe chato awe kigoma ni tanzania bado na mapambano yanaendlea
  3. Obamamtoto

    Silinde: Maamuzi ya kutufukuza ni ya kitoto. Kuna udikteta CHADEMA, Mbowe ajitafakari na kuachia Uenyekiti

    HII NI SAWA NA UMFUKUZE MWANAMKE ALAFU AENDE POLISI THEN POLISI WAMRUDISHE KWAKO WAKUAMBIE ATAKAA KWAKO ILA MGUSE UONE
  4. Obamamtoto

    Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

    NCHI IPO KWENYE HARAKATI ZA KUPAMBANA NA CORONA WAO WAPO BUSY NA KUFUTA WABUNGE UANACHANA HAWA HAWANA UCHUNGU NA HILI TAIFA TUWAPUUZE WAMETUMWA NA MABEBERU
  5. Obamamtoto

    Kujifukiza kwa kutumia mashine kwa milion mbili na laki tano tu (2.5m)

    katika vita ya kuendelea kupambana na corona kuna mashine tunazitengeneza (disinfectant walk through ) kama inavyooneka hapo chini kwenye picha na video .tushirikiane kupambana na janga hili kwa wanao hitaji tuwasiliane ni milioni mbili na laki tano tu.tupo MBEYA karibu na IYUNGA tunafika ulipo...
  6. Obamamtoto

    Picha baada ya Kufungwa mpaka wa Zambia na Tanzania

    Tuwapinge mabeberu wa kusini wenye nia ovu na taifa letu nasema chapeni kazi
  7. Obamamtoto

    Nahita fomu za usajili za chuo cha Muhimbili

    Naomba mwenye joining instruction form za muhas 2018/2019 anisaidie
  8. Obamamtoto

    Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(CHADEMA) ajiuzulu na kuhamia CCM

    Yeye atahoji vipi masuala ya ruzuku hapo ndipo wanapokosea jamn mchaga(mbowe) ukitaka uishi naye vzr ndani ya chama usiulize masuala ya pesa
  9. Obamamtoto

    Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

    Mwanamke na uzuri wote huo kwa mganga alafu ukiwakuta makanisani ni mwenyekiti wa kinamama na wakati wa maombi anaomba utasema roho wa bwana sasa ameshuka hata kama ulikuwa mgumu wa kutubu unaanza kutubu
  10. Obamamtoto

    Apandishwa kizimbani kwa kumkashifu Rais Magufuli. Alisema 'Rais kitu gani bwana!'

    Kwani ni Raisi yupi usikute ni mimi raisi wa chama cha wapiga punyeto
  11. Obamamtoto

    Mzumbe university

    asante sana
  12. Obamamtoto

    Mzumbe university

    Msaada mwenye majina ya waliochaguliwa mzumbe (degree) 2017/2018
  13. Obamamtoto

    Wapiganaji wa Rohingya wasitisha mapigano Burma(Myanmar)

    mwenye kuweza kuitafasiri kwa kiingereza hiyo habari afanye hivyo ili na mm nielewe mana kiswahili sikijui
  14. Obamamtoto

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Mwanaume una'google "kutapika ni dalili ya ugonjwa gani" Wanakuletea; signs of Ebola, Ukimwi, Mimba Inabidi ukubali tu ukona mimba
  15. Obamamtoto

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Nimeenda hosipitalini kupimwa ugonjwa, matokeo yanakuja docta ananiambia eti choo changu ni mbaya... saizi nipo najenga nyingine, sipendangi ujinga mimi
Back
Top Bottom