Kufikia 2025 Tanzania itakua imepiga hatua za mbali sana chini ya uonngozi imara wa Dr. John Pombe Magufuli, mnaompinga vyema mkavuka na kuwa upande sahihi wa historia, la sivyo mtayaona yote yakitendeka na kujutia kwa kutohusika kwenye kumchagua.
Mabeberu hawaitakii Afrika mema, kila akiibuka kiongozi mzuri mwenye nia njema wanamtafutia kesi, nia yao ni tuendelee na huu umaskini ndio waendelee kutunyonya raslimali.
Mbona mnatafsiri taarifa visivyo, hivi hii ndio namna ya kuuza sera? Haijasema Tanzania imeshuka kutoka uchumi wa kati, ila ni mambo ya ratings za mikopo, mbona mnapotosha, halafu idadi kubwa ya watu humu hawatasoma contents.
Mzee Magufuli chapa kazi, watu watakuelewa soon.
Watu kuponda kila nzuri linalofanywa na rais, hivi binadamu mumeumbwa vipi kwa kweli maana ningekua rais wa nchi mngekoma sana watu, urais ni shughuli, unakesha ukiwaza jinsi gani ya kuboresha maisha ya watu, halafu kuna mijtu kila siku inakesha ikiwaza kuponda kila kitu hamna hata kimoja...
Shukrani sana, watu wamejitoa ufahamu hawataki kusikia wala kuona, kila wakiamka alfajiri wanawahi kwenye mitandao kuponda, kukomoa na kutukana tu, hata ukijenga barabara hadi kwenye milango yao lazima wataponda tu.
Afrika tuna majitu ya ajabu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.