Iv ww umesoma chuo kweli ukajua hali ya life ilivyongumu huko unaju use unaongea co kwa mihemko ya politics just ktk real life wanaosoma ndo wajua watu wasio kuwa na mkopo wanaishijee
Sasa akili hapo in ipi ukiwa na kipaji tumia kikulipe co unasema unakipaji uku unakufaa njaa shituka brother we umeanza mziki mikaa sits b4 yy lakn anakizid akili za kutafta pesaa da wabongo bhana nyie mjazen maneno ivo ivo lkn show za diamond mnaenda za kina hamuendi huo ndo ushabiki ufala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.