Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

Raisi ameunda kamati ya kuchunguza viwango vyote vilovyoainishwa hapo.. Kama ni kweli ama si kweli itafahamika tu..

Tusubiri kamati imalize kazi yake.
 
Attachments

  • IMG-20170329-WA0022.jpg
    IMG-20170329-WA0022.jpg
    82.9 KB · Views: 49
Naomba ni declare interest kuwa, mimi ni mmoja wa wataalam wanaouhusika na ishu iyo ya mchanga.

Kifupi naomba nieleze kile ambacho kipo kwenye makontena. Kilichopo kwenye makontena kwa asilimia kubwa ni copper(Cu) , ifufuatiwa na silver (Ag) na dhahabu (Au) haizidi asilimia 0.05.

Yule Afisa wa Bandari aliyesema kuwa zaidi ya asilimia 90 ni dhahabu ni muongo na anapaswa kuiomba radhi ACACIA na watanzania kwa ujumla na atumbuliwe kwenye nafasi yake.

Kiwango kilichopo kwenye yale makontena zaidi ya 256 ni kati ya sililimia 0.012 -0.02, g/t

Mh spika alidhani kiwango cha asilimia 0.02 kuwa ni kidogo na hauwezi kupata faida iwapo utalisafirisha kontena kutoka mgodini mpaka China, Japan au Ujerumani.
Naomba nimuulize, anajua gharama ya kusafirisha hilo kontena? Kifupi haizidi milioni 8.

Nikija kwenye mchanganua wa hiyo asilimia 0.02 kwa contena, naomba nimfafanulie mh spika kama ifuatavyo:-

(1) 0.02% hii ni gram kwa tani, kwa maana hiyo hii ukiizidisha kwa tannage zilizopo (eg 20.5tn), utapata 0.41%.
(2) Hii 0.41 ili upate ppm, unatakiwa uizidishwa kwa 10000, utapata 4100ppm au g/t.
kwa maana nyingine, yule mtaalam wa TMAA aliwaambia kwenye kila container kuna takriban kilo 4.1. sasa hii ni ndogo?
(3) Kwa sasa kilo ya dhahabu ni takribani mil 90. 90x4=360m.
sasa iwapo utasafirsha container moja kwa 10m, huoni kuna faida?

Pia Kamati ya Bunge kupitia Spika alidai kwa mwaka ACACIA, Buzwagi na Bulyanhulu huzalisha takribani idadi ya makontena elfu 50, na kwa maana hiyo contena milioni moja yameisha safirishwa. HUU SIO UKWELI.

Ukweli ni kwamba hizo ni tani za mchanga wa dhahabu na sio idadi ya kontena.

Mpaka sasa, migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi wameisha safirisha makontena yasiozidi elfu 50.

Mpaka sasa Bulyanhulu peke yake wamesafirisha contena sizizozidi elfu 42. Sasa hizo contena 1m, zimetoka wapi?

Mh. rais kuna wanakupotosha, na hili utalithibitisha kupitia sample zilizochukuliwa na Mh Waziri Mkuu jana katika mgodi wa Buzwagi, kwani kati ya makontena aliyochukua sample, moja wapo ni kontena ambalo lililkua na seal na document zote za serikali na lilikua tayari kusafirishwa kwenda Ujerumani. Baada ya tamko la rais kontena hilo lilirudishwa mgodini pamoja na makontena mengine 3, yakiwa tayari yamefika Isaka.

My take:-

Kwenye hili sakata la mchanga, mihemuko isitumike. Wawekezaji wa ACACIA hawamuibii mtu kwani hata kama kungekua na 90% ya dhahabu, TMAA huchukua sample pia, kiasi kwamba wangeweza kuiambia serikali kuwa ACACIA wanawaibia kwa kutoa takwimu za uongo.

Iwapo mikataba haiwafaidishi watanzania, ifanyiwe review kwani ACACIA hutumia mikataba hiyo hiyo kufanya calculation zao.

Iwapo itathibitika kuwa ACACIA pia hawawaibii watanzania kwa kuficha dhahabu kwenye mchanga, basi pia Katibu Mkuu aombwe radhi.
KWANZA NAKUPONGEZA KWA UELEWA
PILI ALIEKUTUMA MWAMBIE SWALA SIO 90PEEC DHAHABU RAIS AMESHAKATAZA MICHANGA ISITOKE WAMEPELEKA MICHANGA KUFANYA NN BANDARINI HAYO NDIO MASWALI YAKUJADILIANA HAPA......
 
Kwani na wewe wa kuja au Mtanzania mwenzetu???
 
Mtoa Maada sijaona mahali ulipopigia upatu, uongezaji wa thamani kwa kui process huo mchanga ili kutenganisha hizo gold, coper, silver , zinc etc , pili kuongeza ajira hapa Tanzania , transfer of technology , huduma zingine kwani hai wafanyakazi wa hiyo plant iwe mbongo au mtu wa nje atahitaji mahitaji mengine Kama burudani Na major ahi muhimu ya kibinadamu, Kama Chakula etc, itaongeza uwigo wa kodi Keanu final products itakuwa Na than anti zaidi ya raw material au mchanga pia kutakuwa Na kodi nyingi kutoka kwenye maisha hata ya wafanya Kazi Na huduma Mabakila Mabakila Za kibinadamu etc Na pia inaweza kuchochea viwanda vya chuma , ship bldg etc etc
 
kwani mkuu umetumia kipimo kipi kujua taaluma ya hao wahitimu kua hairizishi kabisa?
Wewe taaluma yako ni ipi na katika kiwango gani(uelewa)
je taaluma yako unaitendea haki 100%
Mchango wa taaluma uliyo nayo kwa taifa mpaka sasa ni upi na katika kiwango kipi?
N.B, tujadili kwa hoja tu.

Mimi nimeishia Form II. Lakini bila kupepesa macho takriban kila siku nakutana na wahitimu wa Chuo Kikuu na kwa kweli ninaowaona mtaani hawatatusaidia kitu. Pia nimepata bahati ya kukaa vikao na wahadhiri wenye uzoefu wa miaka mingi. Wamekata tamaa kabisa. Ubora wa wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu hauridhishi hata kidogo. Na wanafunzi hao wakimaliza vyuo vikuu, baadhi yao wanakuwa wahadhiri. Wahadhiri hawa wapya hawana ubora wa kutosha. Ninajitahidi pia kusoma matokeo ya tafiti mbalimbali kuhusu ubora wa elimu itolewayo nchini (ili walau niwasaidie wanangu), hususan ufundishaji wa masomo ya sayansi (ikiwemo hesabu) hapa nchini. Machapisho yako mengi. Yote yanasema uwezo wa waalimu ni mdogo mno. Kinachoendelea ni kukariri ili kufaulu mitihani. Waalimu wanafundisha "past papers". Badala ya kufundisha Chemistry, wanafundisha "past papers". Kama huniamini, nenda waulize TMAA kama wanaridhika na ubora wa waajiriwa wao wapya waliohitimu UDOM na UDSM. Kila mwekezaji anataka kuajiri watu kutoka nje ya nchi kwa kuwa soko la ndani linashindwa kutoa watu wenye sifa. Kimsingi hali ni mbaya. The future of this country looks bleak. Wala huhitaji utafiti. Just look around. Anzisha tu biashara e.g. mgahawa wa chakula, halafu ajiri wabongo/wasomi wetu hawa ndio utaelewa ninachosema.

Walau mchango wa taaluma niliyonayo ya Form II ni kutambua kwamba "tuna wasomi fake", wasomi waliosoma "past papers", ambao japo idadi yao inaongezeka, ongezeko hilo haliakisiwi na maendeleo ya nchi na umaskini uliopo. Matatizo ya watu (practical problems) yako palepale, japo tunaambiwa idadi ya wasomi inaongezeka. Sasa kuna haja gani ya maskini wa nchi hii kuendelea kugharamia elimu, hususan elimu ya juu kama watu wanaenda shuleni kusoma "past papers"? Sasa hivi watu tukienda hospitali tukikutana na madaktari waliohitimu sasa tunapata wasiwasi. Tunakosa uhakika na matibabu yao kwa kuwa hwaonekani kuwa na uhakika kuhusu matibabu wanayoyatoa. Pale Muhimbili ilifikia hatua watu kifikiri kuna matapeli wanajifanya madaktari, kumbe elimu yetu imedorora kiasi cha kuzalisha madaktari wanaofanana na matapeli. Ni hatari.
 
Mimi yote kwa yote, nataka kufahamu iwapo haya makampuni ya uchimbaji madini yanafanya mambo ambayo yako nje ya makubaliano (mikataba) ambayo sisi kama nchi tumesaini na makampuni haya....

Kama tulisaini na kuwaruhusu wachimbe dhahabu kwa utaratibu wa kwenda kuoshea mchanga kwa kuusafirisha nje ya nchi, then Rais Magufuli anatoa wapi haki ya kuvunja makubaliano kienyeji enyeji tu ??

Na mikataba hiyo inasemaje kuhusu hayo madini mengine yanayopatikana ktk mchanga ambao huenda huko sijui Japan ama China, ama Ujeremani kupembuliwa ??

Mimi nina hakika Ndivyo tulivyosaini , siamini kama hawa wazungu wanaweza kufanya jambo lililo nje ya mikataba yao......

Na naamini mwisho wa siku, tutaanza kuona madhara ya kusainia mikataba ihusuyo raslimali zetu nyeti kama madini ktk mahoteli (refer sakata la Nazir Karamagi vs Buzwagi vs Zito Kabwe mwaka 2005 hata akapewa adhabu ya kutohudhuria vikao kadhaa vya bunge kwa kuitwa muongo na hawa hawa CCM akiwemo huyu huyu John Pombe Magufuli ambaye leo ajifanya kulia na kutoa machozi ya mamba !! )
 
Ikiwa yule dg wa bandari amempotesha raisi na asilimia 90 zake anazolazmisha naomba ashtakiwe kwa uhujumu uchumi maana atatia taifa hasara nyingi sana. Ila ngoja tuone
Ashitakiwe kwa kesi ya uchochezi
 
Naomba ni declare interest kuwa, mimi ni mmoja wa wataalam wanaouhusika na ishu iyo ya mchanga.

Kifupi naomba nieleze kile ambacho kipo kwenye makontena. Kilichopo kwenye makontena kwa asilimia kubwa ni copper(Cu) , ifufuatiwa na silver (Ag) na dhahabu (Au) haizidi asilimia 0.05.

Yule Afisa wa Bandari aliyesema kuwa zaidi ya asilimia 90 ni dhahabu ni muongo na anapaswa kuiomba radhi ACACIA na watanzania kwa ujumla na atumbuliwe kwenye nafasi yake.

Kiwango kilichopo kwenye yale makontena zaidi ya 256 ni kati ya sililimia 0.012 -0.02, g/t

Mh spika alidhani kiwango cha asilimia 0.02 kuwa ni kidogo na hauwezi kupata faida iwapo utalisafirisha kontena kutoka mgodini mpaka China, Japan au Ujerumani.
Naomba nimuulize, anajua gharama ya kusafirisha hilo kontena? Kifupi haizidi milioni 8.

Nikija kwenye mchanganua wa hiyo asilimia 0.02 kwa contena, naomba nimfafanulie mh spika kama ifuatavyo:-

(1) 0.02% hii ni gram kwa tani, kwa maana hiyo hii ukiizidisha kwa tannage zilizopo (eg 20.5tn), utapata 0.41%.
(2) Hii 0.41 ili upate ppm, unatakiwa uizidishwa kwa 10000, utapata 4100ppm au g/t.
kwa maana nyingine, yule mtaalam wa TMAA aliwaambia kwenye kila container kuna takriban kilo 4.1. sasa hii ni ndogo?
(3) Kwa sasa kilo ya dhahabu ni takribani mil 90. 90x4=360m.
sasa iwapo utasafirsha container moja kwa 10m, huoni kuna faida?

Pia Kamati ya Bunge kupitia Spika alidai kwa mwaka ACACIA, Buzwagi na Bulyanhulu huzalisha takribani idadi ya makontena elfu 50, na kwa maana hiyo contena milioni moja yameisha safirishwa. HUU SIO UKWELI.

Ukweli ni kwamba hizo ni tani za mchanga wa dhahabu na sio idadi ya kontena.

Mpaka sasa, migodi ya Bulyanhulu na Buzwagi wameisha safirisha makontena yasiozidi elfu 50.

Mpaka sasa Bulyanhulu peke yake wamesafirisha contena sizizozidi elfu 42. Sasa hizo contena 1m, zimetoka wapi?

Mh. rais kuna wanakupotosha, na hili utalithibitisha kupitia sample zilizochukuliwa na Mh Waziri Mkuu jana katika mgodi wa Buzwagi, kwani kati ya makontena aliyochukua sample, moja wapo ni kontena ambalo lililkua na seal na document zote za serikali na lilikua tayari kusafirishwa kwenda Ujerumani. Baada ya tamko la rais kontena hilo lilirudishwa mgodini pamoja na makontena mengine 3, yakiwa tayari yamefika Isaka.

My take:-

Kwenye hili sakata la mchanga, mihemuko isitumike. Wawekezaji wa ACACIA hawamuibii mtu kwani hata kama kungekua na 90% ya dhahabu, TMAA huchukua sample pia, kiasi kwamba wangeweza kuiambia serikali kuwa ACACIA wanawaibia kwa kutoa takwimu za uongo.

Iwapo mikataba haiwafaidishi watanzania, ifanyiwe review kwani ACACIA hutumia mikataba hiyo hiyo kufanya calculation zao.

Iwapo itathibitika kuwa ACACIA pia hawawaibii watanzania kwa kuficha dhahabu kwenye mchanga, basi pia Katibu Mkuu aombwe radhi.
Umeongea vema sana!

Sent from my HTC One A9 using JamiiForums mobile app
 
Ukoloni mambo leo! neo colonialism! Ivi why are our eyes so closed to c the reality? Why are we so dumb jamani? Alietuloga yuko wapi atuague? And malaika gani uyo atakayekuja kuturudishia UZALENDO ndani yetu? Nalia machozi ya Uchungu xana xana! Kweli Uzalendo twauweka Pembeni alafu tunatetea Maslai ya WAZUNGU? to hell with them! kwanini Serikali isitengeneze SMELTER hapa hapa? Imagne kwa miaka yote wamekua wakiiba and mchanga wote una contain vote inclusive Gold!
These people have one mission in their Minds only to extort African natural resources and off they go to enrich themselves and their mother countries(scramble for Tanzanian natural resources NO more u Foreigners! suddenly the country has its owners and are ALIVE not DEAD [HASHTAG]#SHAMBA[/HASHTAG] LA BIBI NO MORE !

WATANZANIA TUMECHOKA,HAWA WAGENI WAMECHOTA TANZANITE YOTE WAMEHAMISHIA KWAO WAKISHIRIKIANA NA WATANZANIA WASIO WAZALENDO! LEO HII IMEKWISHA,LAZMA TUONGEE JAMANI,HEBU TUACHE USHABIKI KWENYE HILI LASIVO TUTAKUJA SHTUKA ITS TOO LATE! JAPOKUA WAMECHOTA KWA MIAKA MIA#IMETOSHA LASIVO ITAKUA KAMA WALE TWIGA WALIOKUA WANAPANDA NDEGE!
 
Minafikili mngekaa kimya mkaiacha selikari ikajilizisha kilichomo ndomkaomba vivarium vya kusafilisha lakini mnapo taka kung'ang'ania kusafilisha bila kupimwa hapo ndo tunahisi kuna namna
 
Sidhani kama TMAA wako makini na kazi yao..mfano kuna mahali sehemu tofauti TMAA wameweka tangazo barabarani la ukaguzi wa madini..

Hivi madini ni sawa na gunia la mkaa au mbao?? ni sahihi mtu aliesmuggle dhahabu kumuwekea tangazo aonyeshe dhahabu zake za wizi..ataonyesha??? kwa akili ya hivi hawa TMAA wanajua kazi yao kweli..

Kwanini wasinunue scaner inayoweza kubaini aina zote za madini hata kama yako kwenye begi..kuweka tangazo hivyo walivyoweka kama mtu asipojitokeza kusema ana dhahabu wao watajuaje??? Mkaa na mbao vinaonekana wazi hata km ni gunia moja, vipi dhahabu???

Wanaweza kununua magari tu ya kutembelea lakini kununua teknolojia ya kuwasaidia kufanya kazi yao ya ukaguzi hawana hiyo akili..je TMAA wanastahili kuaminiwa kweli???
unajua madini yanahusisha vitu gani kwa mujibu wa sheria ya madini 2010?tuanzie hapo
 
Watanzania cc masikini Sana'a hata kwa kufikria ktk mkataba ea madin kuna mkataba unaoruhus madini mchanaga kusafirishwa nje ya nchi
 
i dint say are worthless at all, but I just want to make things clear that th r no such amout of about 20% gold.
Thats good, if it's that amount as you say, then; We Tanzanian would like to verify this so we both in the clear hence all Contract and permits
 
Back
Top Bottom