Rashid: "Simple. Kwanza, aache kusingizia serikali. Pili, aache kusingizia wazazi. Tatu, aanze na kile kidogo alicho nacho. Kama ana simu, aanze biashara online. Kama ana skills, ajitangaze. Kama hana kitu kabisa, atafute njia ya kujifunza. Hakuna excuse!"
Hii nitaishi nayo👊🏿
Habari za muda huu mdau wa soka la bongo.
Moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Huyo bwana mdogo ni mmoja kati ya wachezaji wenye uwezo mkubwa sana uwanjani. Akili jumlisha na maarifa. Sifa zote za kiungo mshambuliaji anazo, kuanzia kwenye kupiga pasi...
Shida ya wote wa pepa moja ..unaweza kukuta idadi inahitajika mmeipata kwenye somo moja. Mfano pepa moja idadi anayoitaka iiingie oral wote kiswahili au kiingereza. Hawatofikia lengo. Lazima iwe kwenye kila somo. Na ikiwa kwenye kila somo ndio hizo nafasi 176k.
Lazima waje na suluhisho. Kama...
Hiyo ya teaching methodology naethi
Hiyo ya teaching methodology and ethics...n.k ndio iliyokuwa inatarajiwa..lakini masomo mawili sasa. Na kumbuka kila somo limeombwa tofauti.
Wakati ule kupitia Tamisemi..mfumo ulimpa mwalimu fursa kuchagua masomo mawili, yaani major na minor. Ila huu ni moja...
Kila somo linanafasi yake. Kama unafundisha kiswahili na kiingereza inabidi ufanye interview ya kiswahili na kiingereza. Hata kwenye mfumo, utaratibu wa maombi ulikuwa kwa kila somo.
Kufanya mtihani mmoja wote kuna uwezekano wengi wa somo fulani kupata marks za juu, halafu wengine wakapata...
Kilichoongeza idadi hiyo ni idadi ya masomo ya kufundishia. Kama kuna mwalimu alituma maombi zaidi ya mara moja nikiwa na maana ya masomo mawili let say kiswahili na kiingereza idadi itaonekana walimu wawili.
Kwa hiyo 170,000 sio idadi sahihi ya watu.
Hii inafanyika kwasababu watu wanahama, wanakufa....lazima daftari liboreshwe. Lihuishwe ili taarifa sahihi za mpiga kura zipatikane. Narudia tena. Ni zoezi la dakika mbili tu. Kisha unaendelea na shughuli zako ukisubiri tarehe ya kupiga kura.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.