Sintofahamu Ajira za Walimu

Sintofahamu Ajira za Walimu

Kwa mantiki hii, angalia idadi ya walioomba
Unaweza kukuta hii walioomba ni watu 10,000.
Linganisha na watu 170,000. Wakitaka waliopata 100/100 wapite, je wakipata mia ya mia watu 80,000. Wataajirije?
Kilichoongeza idadi hiyo ni idadi ya masomo ya kufundishia. Kama kuna mwalimu alituma maombi zaidi ya mara moja nikiwa na maana ya masomo mawili let say kiswahili na kiingereza idadi itaonekana walimu wawili.
Kwa hiyo 170,000 sio idadi sahihi ya watu.
 
Inawezekana mkuu
 
Nafasi za kazi masomo ya

Physic and chemistry 1
Chemistry and biology 2
English and Literature 2
KISWAHILI and Geography 1
 
Tangazo official bado, lakini habari za usaili wala mjomba ake na usaili hazipo tena , kaa kwa kutulia soon watatoa tangazo then mtapangiwa vituo vya kazi
Mmm watu 176K kiwachuja bila interview mbona mziki
 
Usaili kama Kawa kama dawa SEMA unaweza ukawa mmoja yaani gombania goal ukipenya umepenya
 
Itawezeka
Itawezekana mbona miaka ya nyuma iliwezekana, kwa taarifa niliyopenyezewa ajira ni wa 12 kureport kituoni ni tarehe 13 January.
Mkuu kipindi Cha nyuma ilikuwa Tamisemi,na mtu aliomba mikoa Hadi tano lakini mwaka huu mkoa mmoja afu interview zilifutwa,,Sasa watapangaje bila usaili?
 
Mkuu kipindi Cha nyuma ilikuwa Tamisemi,na mtu aliomba mikoa Hadi tano lakini mwaka huu mkoa mmoja afu interview zilifutwa,,Sasa watapangaje bila usaili?
Usaili utakuwepo mkuu
 
Back
Top Bottom