Recent content by nzota makebera

  1. N

    Kuna ajali maeneo ya Uwanja wa Taifa Daladala ya mbagala Imemwaga watu baada ya kuakatika Centre bolt

    Kuna ajali Taifa barabara ya Mbagala imemwaga watu Baada ya kukatika Centre Bolt.
  2. N

    Tahadhari: Kuweni makini sana na wahudumu wa bank

    Pi ni hatari kwa usalama wako kuanza kuhesabu pesa nyingi kaunta,mana hujui wanaoingia na kutoka unaweza wekawa MTego nje ukitoka!
  3. N

    Wasifu (CV) ya Kamanda Simon Sirro

    Nijuavyo mm,ni mmoja wa Magraduate wa Kwanza kabisa Kuingia Jeshi la Polisi alimaliza UDSM mwanzoni mwa miaka ya '90!
  4. N

    Gazeti la Jamhuri: Zitto ANYUKWA, Ndege mpya iliyonunuliwa ikiendelea Kutengenezwa

    Kamati tena Ianze Siasa Ikombe Mshiko!.....Hizo Kamati ziliundwa wee wakati wa Msoga Porojo Miiingi Huku nazo Zikiishia Kupiga Mabillion ya Pesa!
  5. N

    Tafadhali tunaomba CV za N/Waziri wa Elimu, Stella Manyanya

    Ili jina Lako Lianze na Neno Enginer,Baada ya kumaliza Adv.Diploma au Bachelor, Lazima Uwe umepractice kazi za Engineering Kwa Vitendo Kwa zaid ya Miaka 5 na usajiliwe ma Board ya Wakandarasi. So kama AliPractice Shida ni nn? & Elewa Board haikupi jina hilo kama zawado bali uwezo wako!
  6. N

    Nani rais mzigo kati ya awamu zote 5 tangu uhuru?

    Mwinyi alikua mzigo mura nchi ilimshindaga kabisaa hadi Nyerere akaingiliaga kati!
  7. N

    Madhara ya Magufuli kufanya kazi na misururu ya waandishi wa habari na TV

    wewe ungejuaje bila kuona na kuskia kwenye vyombo vya habari? Serikali Safi Haihitaji kujificha ficha. Kujificha ni dalili za kuficha uovu. & hiyo inasaidia pia wenye Tabia hzo waogope na waache kabisa. Iwe fundisho kwa wengine ndo maana hata hukumu ya mahakama inakua waz ili iwe...
  8. N

    Huu ni Ukweli: Kusafiri na Basi ni Burudani kuliko kusafiri na Ndege

    Ajali ndo tatizo la usafiri wa bus! Very? Very! Risk!
  9. N

    Naamini kabisa, Tanzania kichwa cha mwendawazimu

    Wachezaji wenyewe unao mkuu? Tatizo si kocha bali hatuna wachezaji mura!
  10. N

    Natafuta injini ya gx100 vvti, mwenye nayo tafadhali

    mm ninayo piga 0754-506662
  11. N

    Ushauri unahitajika

    amekudanganya huyo.Udsm hawatoi diploma ya sheria labda lushoto au mzumbe
  12. N

    Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    Pole kwa kweli **** kubwa inaboa sana! sasa uliacha wenye mnaTo! Ukudanganywa namwanamke Tabia! mwanamke **** Bana! Tehe!
  13. N

    Lowassa afunguka, awataka wanaomchafua kujitokeza wazi

    Waseme mara ngapi? Makongoro si kamsema waziwazi si amjibu sasa
  14. N

    Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    aliyekaribu atupe lattest news. mm niko na DaR exp.bado tuko nyuma, Tuko Korogwe.
Back
Top Bottom