Recent content by nzigo

  1. N

    Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Purambili ni wilaya gani?Mi Niko Dar nataka kuhamia Moro. Tuwasiliane 071386951
  2. N

    KOVA: Kapuya hana kosa la kuhojiwa ni mambo yake binafsi

    Binafsi sikushangaa kusikia scandal ya Kapuya maana namjua ni mzee wa totoz. Hebu click link hii uone namna dingi huyu anavyojiweka kwenye mazingira hatarishi ya kutafuna totoz: KHAA! MHE. KAPUYA - Global Publishers
  3. N

    Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    Kama unaweza tunaomba u-scan huo waraka na kutuwekea hapa ili wote tuone hii issue imekaaje.Tafdhali sana turushie huo waraka
  4. N

    Tujihadhari na matapeli katika ajira?

    Jamani tuwe macho na matapeli katika ajira. Mimi nimenusurika. Hebu soma hii: Siku moja nilipigiwa simu na mtu mmoja aliyejitambulisha kuwa ni Dr Joseph Mwakabonga kutoka WHO, Tanzania. Alijifanya kuwa ananifahamu kabisa na aliniita kwa jina japo mimi simfahamu kabisa na sikumbuki kama...
  5. N

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!CCM hawawezi kushindana na nguvu ya umma
  6. N

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Mbona hutatuambia kama kamanda Lema yupo? Je, Rais mtarajiwa vipi(Dr Slaa)?
  7. N

    Twaweza: Watanzania walio wengi wana imani na Rais Kikwete

    Hao watafiti waongo tu.Inakuwaje wananchi hawawajui wabunge wakati wao ndo waliwachagua. Wanataka kutumabia hata Majembe kam Mnyika na Halima hayajulikani. Hata Waziri Mahanga hawamjui, wakati ni mbunge wa miaka mingi!
  8. N

    Mgogoro Hazina, BoT, serikalini; hakuna malipo!

    siyo kweli kwamba serikalini hakuna fedha, fedha zipo ila ni matatizo tu ya mtandao.Jamani acheni uzushi.mimi niko jikoni ninajua kila kitu.Tafadhali anayedai serikali haina fedha athibitishe.
Back
Top Bottom