sijakuelewa hapo kwenye gharama ya kivuko mkuu unatakakumaanisha milion 3.3 au ni bilion 3.3 naomba ufafanuzi hapo, lakini kama kivuko hicho kimeigharimu serikari shilingi milion 3.3 mbona ni fedha kidogo saana ambozo zisinge paswa hata kuwa na matangazo mengi ,,,,, pia na kama ni shilingi...