Kabla ya kufanya forex ni vema uwe unajua tofauti ya Investing, speculation na gambling. Forex is purely speculation kama uko well trained otherwise is gambling. Kama unataka kufanya hii kitu fanya kwa kutumia hela ndogo ambayo unaweza kuipoteza bila kukuathiri mambo yako na cha umuhimu zaidi...
DSE inatakiwa ianzishe DSE App kama walivyo majirani zetu kenya (NSE App) ili kuwawezesha wawekezaji waweze kupata taarifa kwa haraka na kurahishia kufasha shughuli za uwekezaji kupitia simu, halafu ijitahidi katika kutoa taarifa sahihi na kwa haraka katika website yao.
Ni kampuni nzuri lakini tatizo liko kwenye valuation, hisa ziko overpriced (angalia P/E halafu linganisha na peer i.e Safaricom na Voda ya South). Pia angalia ROE, jaribu kulinganisha na Peer.
Kabla yakununua hisa za toleo la awali ni vyema ukosoma kwa makini waraka wa matarajio, waraka wa matarajio unaweza kupata katika mtandao (tovuti yao, ya soko la hisa, ya mamlaka ya mitaji na dhamana, google, n.k). kumiliki hisa ni kumiliki sehemu ya kampuni na sio kumiliki kipande cha karatasi...
Kwani ni dhambi mtu kuwa tajiri nchi hii? maana mtu akiwa tajiri asipoambia fisadi basi ataambiwa freemason, tax evasion ni moja ya mbinu za kijasiriamali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.