Recent content by NZASA M

  1. N

    JamiiForums Tanzania Magufuli usifumbie macho uozo wa TAWIRI

    NA IMANI NA MA PREZDA JPM.TANZANIA WILD LIFE RESEARCH INSTITUTE KAMA TAASISI MOJAWAPO YA MALI ASILI.PALE MKURUGENZI,HR,WAHASIBU NI WAPIGA DILI WAMECHAKACHUA PESA ZA UJENZI WA HQ JENGO HALINA UBORA,WAO MAKWAO WANA MAHEKALU.WANAUZIANA MAGARI YA OFISI KWA THAMANI YA NYANYA.MAJIPU KIBAO BADO KUNA HR...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Habari wanajamvi, Nawasalimu nyote watu wa Mungu. Mimi napenda kujua tu kuhusu ngazi za mishahara serikalini, hasa :pGSS 3.1 NA PGSS 5.3. Asanteni
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa masomo yote QT Olevel, wanaorudia na uchumi kidato cha tano na sita

    NIPO DAR ELIMU CHUO FIELD PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT.NATOA HUDUMA YA KUFUNDISHA MASOMO YA O LEVEL NA MBINU YA KUFAULU MASOMO HAYO.PIA KAMA UNATAKA KUFAULU UCHUMI NICHEKI KWA 0653663399
  4. N

    JamiiForums Tanzania Jamani natafuta shule ya kufundisha uchumi, geography, math, book keeping na english

    REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU. SICHAGUI MAZINGIRA YA KAZI.CALL 0653663399
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    NICHEKI KWA 0653663399 YUKO ARUSHA ILA ITABIDI UMTUMIE NAULI
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wafanyakazi wa serikali

    HABARI ZA MUDA HUU WAPENDWA NAPENDA KUWATANGAZIA FURSA YA MKOPO KWA WAFANYAKAZI.FAIDA YA MKOPO HUU UNAPATIKANA NDANI SAA 24 TU,HAKUNA GHARAMA ZA MKOPO NA PIA RIBA YAKE NI 4%.AFRICAN CAPITAL LTD NI MPYA KWA SASA IMEANZA KUFANYA KAZI KENYA TANZANIA INAMUDA WA MWAKA MOJA SASA.MAKAO MAKUU YAPO POSTA...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nawatafuta saire makaranga na ndugu za babangu

    Naitwa agustino makaranga saire.mzaliwa wa babati.mara ya mwisho kuonana na babangu ni 1992 babati manyara ila mamangu aliniambia kuwa babangu mdogo anaitwa saire.kabila ni mjita na wanaishi majita ziwani ukoo ni makaranga.kwa mwenye taarifa zao anicheki 0756027836
  8. N

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba mdogo wangu anaitwa Saire Makaranga

    Baba wangu mdogo nilionana nae mara ya mwisho mwaka 1992, nawaombeni kwa yeyote anaemfahamu Saire Makaranga call 0756027836. Baba na mama walikuwa walimu wa shule za msingi ila kwa taarifa za juu ni kwamba baba mzee Ibrahimu alishaenda mbele ya haki, dhamira yangu ni kuwajua ndugu zangu kabila...
Back
Top Bottom