Magufuli usifumbie macho uozo wa TAWIRI

NZASA M

Member
Dec 27, 2015
10
1
NA IMANI NA MA PREZDA JPM.TANZANIA WILD LIFE RESEARCH INSTITUTE KAMA TAASISI MOJAWAPO YA MALI ASILI.PALE MKURUGENZI,HR,WAHASIBU NI WAPIGA DILI WAMECHAKACHUA PESA ZA UJENZI WA HQ JENGO HALINA UBORA,WAO MAKWAO WANA MAHEKALU.WANAUZIANA MAGARI YA OFISI KWA THAMANI YA NYANYA.MAJIPU KIBAO BADO KUNA HR MOJA PALE MRANGI ANAJIONA MUNGU MTU KWANZA ANAKASHFA YA MISHAHARA HEWA WAKATI AKIFANYA KAZI HALMASHAURI YA ARUSHA MJINI.MIMI NI RAIA MWEMA NAOMBA HAWA WAUZA TWIGA MSIWAACHE. LAKINI PIA MAKAO MAKUU HAYA YAPO NJIRO ARUSHA
 
Back
Top Bottom