mm nilishaapa kutofungua a/c n.m.b huduma hovyo kabisa unakuta dilisha 7 labda linalofany kazi ni moja tu tena taraaatiiibuuu dada wa watu mara ajibu msg za cm mara atokeee duu kwer bank y makabwera mwanza r/d
keroTRA MZA hapa mza kuna mtu anaitwa HAULE na dem wake BETRICE hawa watu ni kero na sijui kuna nani nyuma yao coz wanaomba rushua kama vile mmeuziana shamba, Rusana unawajua hawa!? sio mpaka tuandamane wafanyabiashara!? fukiza mara moja au tuwashikishe za pcb!!!
watz ni mizigo tuu sasa wwe unaakili unachagua mhindi kua diwani wa kats ya mjini,? ni msukuma gani yuko india ni kiongozi hata wa baar!? matokeo ndo hayo!
Fumanizi mwanza kitangiri dogo aaihidi kulipa fidia chini ya kiongozi wa mtaa chec tukio!!&
=============
MCHEPUKO!! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live' gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.