lema anasema "kikwete hii nchi si ya babako wala ya mamako nchi ya watanzania wote nitaendelea kuongoza arusha kwa kura,kwa kuomba,kiparoko,hata KIBABE " lema anasema rais anapasuliwa busha ? muda huu lema anaigiza sauti za rais kikwete akihutubia alipotoka marekani kutibiwa ,anaendelea kwa kusema bullshit ccm,pia kamanda LEMA anasema akipata wanaume wenzake 1000 wenye roho kama yake basi mwezi october ni mbali sana . KAFULILA ANASEMA "ngoma ya escrow bado mbichi sana watanzania wasubiri ngoma ianze upya"
Kwa mtu ambae ameacha kazi Zake na kwenda kumsikiliza huyo jamaa atakuwa amepata hasara ,kama uko kahama Halafu unasema utaendelea kuongoza Arusha kwa kuomba kora Mara kibabe / kiparoko wakati wapiga kura wapo huko Arusha . Huko ni kuchanganyikiwa badala ya kujikita kwenye hoja zamsingi eg bvr, na madini yaliopo kahama yanayoibiwa kila kukicha tukiachiwa mashimo pekee .