Recent content by nzalendo

  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

    Pia inasemekana hata angani mifumo ya sayari ilipata mushkeri .......kwamba kulikuwa na sayari nyingine iliyo karibu kabisa na dunia yetu........ sayari hiyo ilikuwa na kila kitu kilichomo hapa duniani bahari mito maziwa milima majani miti etc,...pia kulikuwa na wanyama na aina ya ndege ambao...
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

    Hao fix tu..... Walitengeneza kwa makusudi yao......
  3. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuaganane rasmi sasa, najiweka kando na JF

    ......Hewallah....
  4. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuaganane rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Buku...
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuaganane rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Pengine ni madhara ya kupiga NYETOH.....
  6. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Tatizo tumeasi Torati.....tukafuata ujinga....hivyo basi tunatembea kwenye laana.
  7. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuaganane rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Oyaa...sasa unatuachaje??
  8. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuaganane rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Mara ya mwisho kupiga kipara lini??
  9. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Tuaganane rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Una buku hapo!!
  10. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume

    Nshafunga msuli,,nimelala chini ya muembe.......
  11. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume

    Wazushie mmea wa mnyonyo ingawa ni kweli....
  12. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume

    Yap! Nguvu za kiume ambazo kwa sasa ni gumzo. Zamani tulikuwa na utaratibu kila msimu wa mwaka majira fulani tunakunywa dawa za miti shamba za kusafisha tumbo. Naam...kusafisha tumbo manake magonjwa 98% chanjo ni tumboni. KUna dawa fulani ya miti inachemshwa inatoa rangi nyekundu kama mti wa...
  13. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nimepata wazo la kulima

    NASUBIRIA WALE VICHAA WA KUNIPINGA WAAMKE....
  14. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nimepata wazo la kulima

    Sehemu flani hivi chaka kimtindo, Kando ya kimfareji flani ambacho hakikauki mwaka mzima, Naenda kupiga kambi nitaishi hapo hapo Nitalima tu mboga mboga twa fasta kama mchicha na spinachi mixer bamia na pili pili. Pia nitaweka tu migomba na tu papai,,,nitatia sungura na tu kuku twa...
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania ALINIRUHUSU KUINGIZA KICHWA TU!!

Back
Top Bottom