Recent content by nzahaksm

  1. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli sarafu za zamani zina thamani kubwa sasa?

    Naomba kuuliza ukweli kuhusu sarafu za Kitanzania na nchi zinginezo kama kweli zina thamani kubwa sasa. Mtaani wengi wanazitafuta kwa matumizi mbalimbali. Upi ukweli?
  2. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha Barabara Mbagala-Kongowe ni kero kubwa kwa tunaotumia njia hii

    Yes daraja linafaa kwa kuanzia
  3. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha Barabara Mbagala-Kongowe ni kero kubwa kwa tunaotumia njia hii

    Yes daraja linafaa kwa kuanzia
  4. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania KERO Kipande cha Barabara Mbagala-Kongowe ni kero kubwa kwa tunaotumia njia hii

    Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea vifo. Mfano jana ilitokea ajali na kusababisha vifo pale pale darajani mlimani. Gari lilifeli break...
  5. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Serikali isisubiri vifo zaidi kufanyia upanuzi wa barabara ya Kilwa kuanzia Mbagala

    Lori la leo lilikuwa limebeba contena linashusha mlimani pale likaacha njia likaaingia mtaroni baadhi nzuri halikuangusha contena ,imagine lingefanya hivo kama ambavyo ajali ya week kadhaa ilivyokuwa leo tungekuea na vifo vingine
  6. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Serikali isisubiri vifo zaidi kufanyia upanuzi wa barabara ya Kilwa kuanzia Mbagala

    Aibu kubwa,kuna siku kinaweza kwenda chini na magari. Daraja linabeba uzito mkubwa kutoka na idadi ya magari yalivyoongezeka sidhani kama lilikuwa design kubeba amount ya mzigo huu kwa siku kipindi linatengenezwa. Mimi nimetumia hiyo njia toka miaka ya 2000 bado daraja ni lile lile lakini...
  7. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Serikali isisubiri vifo zaidi kufanyia upanuzi wa barabara ya Kilwa kuanzia Mbagala

    Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni. Zaidi ya watu 5 walifariki hapo hapo. Wiki iliyopita nyuma yake lori liliangukia bajaji na wakapotea...
  8. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Kivuko (Ferry) uchukue hatua za haraka kwenye usimamizi wa kushusha na kupakia

    Kuna kitu kinanishangaza kwenye utaratibu unaotumika kushusha na kupakia abiria na vyombo vya usafiri pale kivukoni feli. Napenda utaratibu unaotumika wa kuanza kupakia magari kwanza na vyombo vingine vya usafiri kama baiskeli na pikipiki. Lakini shida yangu linapokuja swala la kushusha hapa...
  9. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Tujadili hoja ya Starlink kama huduma na sio kutumia kivuli cha mmiliki wa hiyo huduma (Elon Musk)

    Kumeibuka mjadala kuhusu swala la mchakato wa kuleta huduma ya intaneti kupitia kampuni ya Starlink. Wengi wakiitupia Serikali lawama kuwa inawekea vikwazo huduma hiyo kuingia nchini. Binafsi sitaki kwenda kwenye hoja ya kutafuta ukweli wa hili bali niombe kuwakumbusha watanzania kulijadili...
  10. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kusitisha kutangaza shule bora inaweka mtegoni utaratibu wa kuchukua wanafunzi bora kwenda shule maalum

    Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Hoja iliyotolewa kipindi serikali inasitisha utaratibu wa kutangaza shule bora kwenye matokeo ya mitihani ya taifa inaweza ikawa mwiba kwenye utaratibu unaotumika kuchukua wanafunzi wanaofanya vizuri zaidi kwenye shule maalumu( government special schools...
  11. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  12. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Rest in peace Dr. John P. Magufuli.

    burian shujaa
  13. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

    kwaheri shujaa
  14. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais magufuli, till we meet again

Back
Top Bottom