Recent content by Nzagambandoghwe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi watatu

    Watoto watajifunza ujambazi ni mbaya na unaweza kuuwawa kwa ajili ya ujambazi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Huyu munyampaa akipewa uwakili mkuu wa serikali itapendeza sana mengine madogomadogo ni ya kurekebishika tu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Pole sana mkuu, ila ingependeza umchukue dada yako uishi naye kwa hali yoyote na wanae endelea kupambana mpaka Mungu atakapokuvusha kwenye huo mtihani. Pole sana, ni changamoto unapitia itumie kama fursa kwa kupambana kwa hali na mali na hakika Mungu ni Mwema utavuka na mambo yataenda sawa.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli kuhusu radi na radi ya kichawi na namna ya kujikinga

    Transistor kuna earthrod zinafungwa kwenye baadhi ya majengo kwa maelekezo kwamba zinazuia radi hili lipoje
  5. N

    JamiiForums Tanzania Haya arusha mpo?6000 tu Chagua kitu roho inapenda earphone za aina tofaut na usb kwa shilingi 6000 tu

    jaribu Mamboleo Electronic,mtaa wa mnazi mmoja
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mgunduzi wa madini ya Tanzanite, Jumanne Mhero Ngoma amefariki leo Januari 30, 2019

    kwa mujibu wa wakale de Souza alikuwa fundi cherehani aliempa dili na aliekuwa anajulikana na wachache kama mvumbuzi halisi ni msukuma mmoja kutoka mwadui aliekuwa anaitwa Daudi Mayaya...yeye nae alionyeshwa na mkamba aliekuwa akiwinda maeneo hayo na kutokana na uzoefu wake kutoka kwenye almasi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Quiz

    100
  8. N

    JamiiForums Tanzania Jifunze maneno mawili matatu ya kichaga

    machallaree?
  9. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

    Shukran....
  10. N

    JamiiForums Tanzania Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

    mara nyingi maumivu ya koo hasa wakati wa kumeza mate husababishwa na "tonsils" (matezi) huduma ya kwanza na rahisi na wengi huwatibu kabisa ni maji ya vuguvugu yenye chumvi unasukutua(unagogoa kwenye koo)kutwa mara3 pole sana mkuu
Back
Top Bottom