Recent content by nzagambadume

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    AS long as team haiko kwenye mikono ya majangili ya kiarabu na kisomali iko salama sana
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    wana ushamba sana siku ikatokea mchezaji wao akaingia kikosi bora cha week cha CAf au goli bora la week hapatakalika ndugu yangu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ushamba wa pongezi za La Liga unatisha Simba washapata za Rais wa FIFA

    Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Madega ashtushwa na mwekezaji GSM kuwa Rais wa Yanga

    fcc ANGALIENI HILO KUNA MGONGANO WA KIMASLAHI 😁😀:D
  5. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

    HUYU MWANA 2020 alijaribu kuchukua form ya kugombea U rais kupitia ccm walimpa kichapo kikali sana kilai kwelikweli ni shoga maarufu sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tutajenga maghala makubwa ya kuhifadhia mafuta ambayo tutahifadhia siyo mafuta yetu tu bali pamoja na ya nchi jirani!

    ukimuuliz akesho hata hakumbuki , raha kweli kutawala mazuzu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    akiwa maskini anaitwa DINGIIIII
  8. N

    JamiiForums Tanzania Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    Azam walimtosa hadi ubalozi, Bakhressa hapendi mambo ya kijinga alivyoanza kumtukana Mo kwa ku compare na Bkhressa mzee akaona utoto huu. Hata Harmonise alivyotoa kale kanyimbo alihisi mzee angebabaika ndo kwanza siku hiyo kafika kwa mzee bila appointment kule masaki kaishia kufukuzwa getini...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Musukuma Unatamani Sana Kulamba Asali Ila Hawakuamini Tena!

    haya ndo mambo tunayoyataka haya walamba asali jibuni upesi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

    mkuu ITC mmemaliza ??? au mnahangaika na nguruwe lenu?lenye ulemavu wa akili na mwili?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ushahid: TP Mazembe wanakuja full squad tarehe 19 hadi mfagia choo

    tulia kama unanyolewa barbra siyo senzo, nyie shughulikeni na kiwanja chenu avic town chenye 40 mitazi na ITC . watoto wa little
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Samatta huwa anafanya makusudi au ishu ni kocha?

    wote tumeliona jana kwa kweli ,nakuunga mkono jana karudisha heshima
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Samatta huwa anafanya makusudi au ishu ni kocha?

    jana nilimuona kwenye list nikaanza kutukana ila kanishangaza sana kanikumbusha samatta wa miaka 4 iliyopita yaani kama angekuwa na support ya bocco, lyanga au nado ingekuwa balaa
  14. N

    JamiiForums Tanzania Aucho ana Kesi na Klabu yake Uarabuni, Djuma hajamaliziwa Pesa na Mayele Klabu yake Congo DR haijamaliziwa Ada yake

    Nimeandaa petition bwana MO arudishiwe hela yake hiyo b 20 hatuitaki tunataka makombe tu..yaani TAPELI ndani ya miak 4 limetupeleak robo fainali 2 na ubingwa back to back 4 TUNALIPENDA SANAAAAAA
Back
Top Bottom