Recent content by nyumbatatu

  1. nyumbatatu

    Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

    [emoji23][emoji23][emoji23] Nimeipenda hii
  2. nyumbatatu

    Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

    Hapana!, nipo tu kwenye ajira nyingine ndio nataka kufanya uwekezaji huko na kusimamia.
  3. nyumbatatu

    Ushauri kuhusu biashara ya ushonaji wa nguo na upatikanaji wa vifaa vyake

    Habari wanabodi, nimepata na kuvutiwa na wazo la kufungua karakana na kufanya biashara ya kutoa huduma za ushonaji wa nguo. Lakini binafsi sina ufahamu juu ya seti za vyerehani zinazohitajika na aina/chapa inayofaa kibiashara na gharama za hizo cherehani, kikubwa nilichosikia kutoka kwa watunga...
  4. nyumbatatu

    Kwanini baadhi ya Watanzania hufurahia sana mabaya yanapotutokea kama Taifa?

    Sijakupigia kura kwa kuamini uwezo wako kuchangia maendeleo ya nchi yetu ni mdogo, unashinda uchaguzi kwa mbwembwe za unachokiita goli la mkono, unaongoza nchi kibabe, kiburi kiingi, uonevu, wapendwa wako wanafuja mali za umma hawagusiki. CAG kaonesha madudu kwenye utandaji wako kihalali kabisa...
  5. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  6. nyumbatatu

    Kuna nini nyuma ya pazia?

    Salaam wanajamvi! Tumemalizana na kibwagizo cha Taifa kuhusu NIDA na usajili wa laini za simu kwa alama za vidole bila laini hata moja kufungiwa pamoja na makelele yote na vitisho kutoka kwa wenye mamlaka. Binafsi sijawahi kujua uhusiano mahsusi uliopo kati ya simu yangu na kitambulisho...
  7. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Mkuu ndio maana naongelea kuwekeza kwa mchina, tofauti na hivi hata nisingeanzisha uzi huu [emoji28][emoji28][emoji2357] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Duh!, mill. 8+ pamoja na VAT [emoji28][emoji28], nikifika huko tayari nitakuwa napambania kumiliki kirikuu. Asante kwa taarifa hata hivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Aise!, hii bei yake ni Tshs ngapi!?. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Asante!, naendelea kukusanya maoni Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Shukrani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Nashukuru kwa ushauri nitazingatia na maoni ya wadau wengine Sent using Jamii Forums mobile app
  13. nyumbatatu

    Aina gani ya Pikipiki inafaa kwa matumizi ya shamba

    Habari wananzengo, ninahitaji kujua aina ya Pikipiki inayoweza kunisaidia kwenye shughuli za shamba (kwa maana ya njia ya vumbi na kubeba mizigo ya wastani kilo zisizozidi 100 (uzito wa dereva hauhusiki)), Pia nikipata bei elekezi ya Pikipiki husika itakuwa vema zaidi. Sent using Jamii Forums...
Back
Top Bottom