Kuna Consultancy Firm moja ipo Dar(Mambo ya Uhandisi) ndio mchezo wao mtu anafanya intern miaka 4 uliona wapi mshahara wenyewe laki 5 hauongezeki miaka yote hakuna cha nssf wala nini
Lakini wao hela za miradi wanazopiga ni balaa, wanatumia vijana wa intern kama cheap labour
Bachelor degree in Aircraft Maintenance Engineering inatolewa na National Institute of Transport kwa Tanzania Bara na Zanzibar kuna Karume Institute of Technology
Kuhusu ada ni mkasi kweli hadi 6m kwa mwaka
Kila la'kheri kwenye kutimiza ndoto yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.