Afu hizi propagandaa zao hawajui zinawachosha watu,yaan kila siku n yale yale,stiglerz,ndege stgr,imekua kama mwalimu anaeifanyia topic moja revision more thanb10 times,wanafunz wataona hakuna tena jipya n michosho tu.....nayo ndo serikali hii inafanya,watu wanataka kuskia kitu kipya ila wao n...