Recent content by Nyota Yao

  1. N

    Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

    Hata JWTZ ni miaka 25 mkuu., soma sifa za kujiunga na JWTZ kwny website yao
  2. N

    Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

    Kwani wewe ndo msemaji wa Jeshi la Polisi.?
  3. N

    Nimewaona polisi na viroba zaidi ya 20 vya maombi ya kazi

    Acha kuvunja watu moyo., wajaze viroba vitatu yamekuwa Mahindi hayo au mihogo.?
  4. N

    Waliowahi kusoma Ndanda Secondary School

    Ebu tukumbushane story mbili tatu za Ndanda Secondary..,, mi nawakumbuka Sana top layer, route za madeko na mpowora usiku na kujazana uwanja Wa netiboli mademu wa nursing school wakiwa wanafanya mazoezi
  5. N

    Tangazo la ajira Jeshi la Polisi 2014/2015

    nani kakudanganya.? msosi Wa CCP mzuri tu., hakuna depo inayokula chakula kibovu
  6. N

    Ni kwa nini IFM inatunuku shahada (Degree) wakati siyo Chuo Kikuu?

    We jamaa wa wapi mbona hujauliza kuhusu TIA, IAA, CBE, IRDP, CDTI, IPS n.k..,,, usikariri kwamba Degree inatolewa na Chuo Kikuu...,,, Serikali kupitia TCU iliruhusu Institute zote ambazo zilikuwa zinatoa Advanced Diploma zianze kutoa Degree kutokana na idadi ya wanafunzi kuwa wengi wakati Vyuo...
Back
Top Bottom