Recent content by Nyota yangu

  1. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Unajenga nyumba ya milion 300 ili upangishe laki 3, ni akili au matope?

    Hakuna nyumba ya million 300 inapangishwa kwa laki 3. Kama ipo niambie ni wapi. Labda nyumba ya milioni 30, nayo faida utaanza kuiona baada ya miaka 10. Binafsi biashara ya wapangaji siwezi kupoteza muda wangu
  2. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Kazi gani ya kiwandani kila ukienda kuomba unapata ila unaweza kukimbia kabla ya kulipwa

    Tatizo wanalipa kwa wiki hivyo huwezi kufanya jambo la maana na hela hiyo
  3. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Wanaume, utapata mke anaye reflect jinsi ulivyo

    It's not always the case, sometimes things just happen.
  4. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kauli hizi, jua umekwishakufa, bado kuzikwa tu

    Ndiyo upo sahihi kabisa
  5. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana hamu ya kufanya mapenzi na mimi. Nifanyeje?

    Si uoe mwingine tu?
  6. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

    Je kwa mtu ambaye haamini habari za Eva, Adam na Mungu unamsaidiaje aamini maneno yako? Maana kuna wengine ukianza hizo stori za Eva sijui Adam watakuona mwehu kabisa
  7. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Mchengerwa fuatilia kifo cha mgonjwa huyu Hospitali ya Ngamiani – Tanga, kuna dalili za uzembe

    Ugonjwa umejisababishia mwenyewe kwa kulala bila net ya kuzuia mbu halafu malalamiko kwa waziri wakati afya ni yako wewe mwenyewe. Dawa za malaria dozi yake pharmacy haifiki hata elfu 10 Afya yako ni wajibu wako siyo serikali
  8. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Do you believe in love? ❤️

    Mimi nimetumia muda mwingi kupenda wengine na kutaka wengine wanipende mimi matokeo yake ni ujinga Kwa sasa nawekeza nguvu zote kwenye kujipenda mwenyewe kwanza mengine baadaye.
  9. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi kuwa mama wa nyumbani ni hasara kwa Wazazi na nchi iloyomsomesha?

    Upo sahihi, na hiyo ndiyo mitazamo hasi tunapaswa kuiondoa vichwani kwa wanaume ili kupata jamii iliyostarabika na siyo inayowaza mwanamke kazi yake ni kuzaa na kulea watoto.
  10. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi kuwa mama wa nyumbani ni hasara kwa Wazazi na nchi iloyomsomesha?

    Sasa kama uwezo wako wa kufahamu kuhusu maisha umeishia hapo mimi nitakusaidia nini zaidi? Endelea kuishi ukitegetemea kuja kulelewa na watoto
  11. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi kuwa mama wa nyumbani ni hasara kwa Wazazi na nchi iloyomsomesha?

    Huhitaji Kum-control mtu yoyote. Ji-control mwenyewe wacha wengine waishi maisha wanayotaka wao
  12. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi kuwa mama wa nyumbani ni hasara kwa Wazazi na nchi iloyomsomesha?

    Ume Control ya nini tena? Hayo ni mambo ya kizamani. Badala ya kuenjoy maisha wewe unawaza Kum-control mkeo! Kazi kweli kweli
  13. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi kuwa mama wa nyumbani ni hasara kwa Wazazi na nchi iloyomsomesha?

    Wengi sana humu ndiyo maana niliacha kufuatilia mijadala ya humu
  14. Nyota yangu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi kuwa mama wa nyumbani ni hasara kwa Wazazi na nchi iloyomsomesha?

    Atatoa wapi hoja na marasta hayo kichwani kwake? Msamehe tu bure
Back
Top Bottom